Muonekano wa Hospitali ya Kisasa iliyoko Mloganzila DSM yenye ghorofa tisa | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, October 12, 2016

Muonekano wa Hospitali ya Kisasa iliyoko Mloganzila DSM yenye ghorofa tisa

October 11 2016 Mabalozi wa Jamhuri ya Muuungano ya Tanzania walioko nchi za nje walitembelea hospitali ya Kisasa kujionea Ujenzi wa kampasi ya chuo na hospitali ya taaluma na tiba ya chuo kikuu cha afya na sayanzi shirikishi, Muhimbili. 

Hospitali hiyo ipo Mloganzila Dar es salaam, kitu cha kufahamu ni kuwa itakuwa na ghorofa tisa, vyumba vya upasuaji kumi, mashine za kufanyia uchunguzi za kisasa, wodi za kulaza wagonjwa karibu flow tano za kisasa na wodi zingine. Makamu mkuu wa chuo Prof. Ephata Kaaya kaelezea mambo muhimu ambayo kampasi ya chuo na hospitali ya Taaluma na Tiba, ya chuo kikuu cha afya na sayanzi shirikishi, Muhimbili itakuwa nayo………..
>>> ‘Kampasi hii ikikamilika, chuo kitaweza kuongeza udahili wa wanafuzni kutoka 4,000 waliopo sasa hadi 15,000, kufanya tafiti nyingi zenye ubora na zinazolenga matatizo ya wananchi wetu na kutoa huduma za afya kwa kiwango cha juu kwa wananchi’
>>>’Hospitali hii ni ya kisasa na itatoa huduma za afya za hali ya juu, mafunzo bora kwa wanafunzi wa fani ya afya, uchunguzi wa magonjwa na tafiti zenye ubora katika fani za afya hapa nchini. Itakapoanza kutumika, hospitali hii itapunguza kwa kiasi idadi ya wagonjwa na gharama zinazotumika kuwapeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu’;- Prof. Ephata Kaaya 