MWONGOZO WA KUOKOKA. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, October 6, 2016

MWONGOZO WA KUOKOKA.

MWONGOZO WA KUOKOKA.
WOTE TUMETENDA DHAMBI.

Warumi 3:23. Kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.

Kama jinsi maandiko yanavyothibitisha hapo juu, kutokana na mwenende wa maisha yetu tunamkosea Mungu. Hii ni kwa sababu tunaishi kwa kutimiza tamaa na mapenz ya mwili, lakini waliookolewa kwa damu ya Yesu Kristo hawatendi dhambi na wanahesabiwa haki kwa imani.

MSHAHARA WA DHAMBI.

Warumi 6:23. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.

Siku ya hukumu ya Mungu (siku ya Bwana), watendao dhambi watatengwa kutoka kwa watakatifu wa Mungu, kama jinsi mchungaji anavyowatenganisha kondoo na mbuzi. Watendao dhambi watahukumiwa kifo na kuharibiwa milele na watakatifu wa Mungu watazawadiwa uzima wa milele pamoja na Mungu katika ufalme wake.

UNAWEZA UKAOKOKA PIA.

Yohana 3:16. Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Maandiko hapo juu yanatueleza wazi, kuwa njia pekee ya kuupata uzima wa milele ni kwa kumuamini Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Na pia hakuna atakye ingia mbinguni pasipo kupitia Yesu Kristo.

Yohana 14:6. Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Na siyo kwa kuamini tu, ni lazima ukiri kwa kinywa chako kuwa Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Ukikiri kwa nia ya dhati kutoka ndani ya moyo wako, unapokea wokovu.

Warumi 10:10. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haya (ya wokovu), na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. 

Sasa tamka sala ifuatayo kwa imani kabisa, na Mungu anatakusamehe na kukupa wokovu.

“Ninakiri ya kwamba Yesu Kristo u Bwana na Mwokozi wa roho na maisha yangu. ulikufa msalabani ili uniokoe, ninaomba unirehemu na unitakase makosa yangu muda huu ninapotubu”.

Amini, umeokoka sasa. Yesu Kristo ameingia katika maisha yako, unachotakiwa kufanya sasa ni kukua katika kumjua Yesu Kristo na Mungu kupitia mafundisho ya Biblia.

2 Petro 3:18. Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.

Kwa kuwa sasa ni Mkristo mpya, tafuta kanisa au kusanyiko linalohubiri wokovu karibu nawe. Hakikisha unatafuta kanisa au kusanyiko linalomuhubiri Yesu Kristo wa Nazareti.

"Na Mungu wa mbinguni aishiye milele, akubariki sana. Amina".