Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Tarehe 18/10/16 Mh January Makamba Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ambaye alifanya ziara katika kituo cha Maji cha Iruwasapamoja na kukagua vyanzo vya maji Mkoani Iringa.
Pia Mh January Makamba aliendelea na ziara yake tarehe 19/10/2016 , alitembelea Mto Ruaha Mkuu eneo la Ruaha National Park na kujionea jinsi maji yalivyo kaukakutokana na uharibifu wa mazingira.
Kukauka kwa mto Ruaha kwamshangaza Mh, January makamba katika hifadhi ya Ruaha National Park.
Miongoni mwa rasilimali hizo ambazo ni pamoja na mto ruaha ulivo hatarini kupotea kabisa kutokana na kukauka kwa maji jambo ambalo halitoi ishara njema kwa hifadhi hio.
Akizungumza mbele ya Waziri huyo mwenye dhamana ya kusimamia mazingira Muhifadhi wa hifadhi hiyo amesema kuwa hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 1992 mto huo kukauka kwa miezi sita mfululizo huku akitaja chanzo kuwa ni uchepushwaji holela wa maji wilayani mbarali.
Katika Ziara yake iliyo ongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh, Richard Kasesela (Iringa DC), Katibu tawala Mr. Joseph Chintika. wamezindua zoezi la upandaji miti ambapo kwa pamoja wamepanda miti katika shule ya msingi mlandege.
Mh Makamba pia amesema Serikali ina mpango wa kuanzisha mkakati wa upandaji miti mashuleni ambapo kila mwanafunzi atatakiwa kupanda mti aingiapo shuleni na kulazimika kuutunza mti huo mpaka atakapo maliza shule..
Picha zote credit to Daniel Kilonge.