Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
*Malezi ya watoto*
Luka18:15 Wakamletea na watoto wachanga ili awaguse; lakini wanafunzi walipoona waliwakemea.
16 Bali Yesu akawaita waje kwake, akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa kuwa watu kama hao ufalme wa Mungu ni wao.
17 Amin, nawaambia, Mtu ye yote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hauingii kamwe.
💥Mtoto ni *Mtu* mwenye Miaka chini ya 17.
💥Watoto under 18, hawaruhusiwi kupiga kura, but wanatumika katika *vita*
💥Watoto hata Kama ni wadogo but wangine Mtoto anapozaliwa ananenewa maneno kuwa wawe Kama wazazi wanavyoamini.
💥Watoto wanapaswa *kulelewa* na siyo *Kutunzwa* pekee. Biblia imeagiza *mlee Mtoto* katika njia impasayo naye hata iacha hata atakapokuwa Mzee!
💥Kizazi cha Leo tumekuwa tunatunza watoto pekee (Chakula, mavazi, Afya etc) *But hawalelewi*.
💥Malezi ni usimamizi wa nidhamu, Kazi na Kumjua Mungu.
💥Watoto wanatakiwa kuongozwa na kusimamiwa. Siyo kumwacha aende anavyotaka.
💥Tofauti na hapo mzazi unatengeneza *mashetani*
💥Mtoto anaanza kufundishwa kutoka tumbini. Anapokuwa tumboni anasikia, na baadaye anapozaliwa anakuwa anafanya unachotaka.
💥Mtoto lazima afundishwe, na kusimamiwa Malezi yote ya kimwili na Kiroho.
💥Malezi ya kimamlaka ni ya lazima kwa Mtoto. Mtoto anapaswa kutii.
💥Mfundishe /mwelekeze hili ndiyo, hili hapana. Kulea ni kuumba/shaping.
💥Mara nyingi Mtoto anapoanza kuwa na Miaka 1.5 hadi 3-4. Mara nyingi anatabia kukangania vitu. Hakikisha kuanzia staji hii Hakikisha anaanza kukutii toka hatua hii na kuendelea usiseme ni mdogo.
Kwanini Kulea watoto
💥Ni agizo la Mungu
Mithali 22:66 Mlee mtoto katika njia impasayo,Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
💥Siyo Mara zote kumchapa Mara zote sema naye then akirudia kiboko.
💥kunamfuata Bwana Yesu Kama ilivyoelezwa hapo huu.
💥Zaidi ya nusu wa watu duniani ni watoto. Hivyo kujenga Dunia ya Kesho.
💥Kulea ni jukumu letu. Je nani anayepaswa kuwalea watoto wako? Lakini pia hata Kama watoto siyo wa kwako wakikosa Malezi kesho atakukaba. Onapooona jambo lisilofaa kwa watoto kemea. Lea/kemea, simamia kadiri unavyopata nafasi.
*Sasa Fanya yafuatayo*
💥Ombea watoto wako na woote
💥Waaalimu wamekuwa walezi wakubwa wa watoto. Watie moyo na kuwasapoti, jenga urafiki na mwalimu.
💥Watie moyo wanaotulelea watoto na Hakikisha yale unayoyataka unamfundisha yale unayoyataka.
💥Watetee na watoto na walezi wao, wasifanyiwe ukatili.
💥Malezi ndiyo yanayomshepu mtoto
💥Tuwadhamini/sponsor watoto, tuwekeze kwa watoto, kutoa pesa kwaajili ya watoto ni uwekezaji siyo kupoteza pesa.
💥Mfundishe Mtoto habari za Mungu na kumtolea Mungu.
💥Kama Mtoto anaweza kufundishwa uchawi na akamudu, no zaidi Kama unamfundisha habari ya Mungu.
💥Faida za Malezi
✨Tutabarikiwa na Mungu Kumbukumbu 28:1-10
✨Tutaepuka Laana
*Jifunze kuwekeza kwa watoto, it pays Katika kujenga uwezo na siyo Mara nyingi kugawa pesa.
✨Pesa siyo jibu la mambo yote jenga nidhamu na miiko.
✨Jukumu la kwanza la Malezi ya Mtoto ni wazazi.
✨Watajenga jamii ya watu wema na wenye kuleta maendeleo na watu wa Mkumcha Mungu.
✨Jamii yetu inakuwa na viongozi wasiokuwa na roho ya ufisadi.
*mafisadi wanashusha maendeleo na kuleta uwizi.
✨Inapendeza Kama inawezekana mahari ya mama ilipwe na Mtoto. Watoto wajengewe msingi mzuri wa kimaisha na nidhamu.
💥Tukilea watoto vizuri tutapata watendakazi/ watumishi / wanafamilia /wanajamii wazuri
💥Mungu atatupenda na neema na upendeleo wa katika maisha yako hasa wakati wa utakapokuwa hauna nguvu
Zaburi : Mlango 45:16 Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako,Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.
Zaburi : Mlango 90:16 Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako,Na adhama yako kwa watoto wao.
Zaburi : Mlango 132:12 Wanao wakiyashika maagano yangu,Na shuhuda nitakazowafundisha;Watoto wao nao wataketiKatika kiti chako cha enzi milele.
Mithali : Mlango 20:7 Mwenye haki aendaye katika unyofu wake,Watoto wake wabarikiwa baada yake
Yeremia : Mlango 3:22 Rudini, enyi watoto waasi, mimi nitaponya maasi yenu. Tazama, tumekuja kwako; maana wewe u BWANA, Mungu wetu.
Yeremia : Mlango 17:2 na wakati huo watoto wao wazikumbuka madhabahu zao, na maashera yao, karibu na miti yenye majani mabichi juu ya milima mirefu.
Yeremia : Mlango 32:39 nami nitawapa moyo mmoja na njia moja, wapate kunicha sikuzote; kwa mema yao, na ya watoto wao baada yao;
Isaya : Mlango 3:4 Nami nitawapa watoto kuwamiliki, na watoto wachanga kuwatawala.
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.