Marufuku Kukata miti ovyo Iringa Tamko kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, November 8, 2016

Marufuku Kukata miti ovyo Iringa Tamko kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela

Marufuku Kukata miti ovyo Iringa.

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amepiga Marufuku ukataji wa miti katika wilaya ya Iringa, akizungumza katika mkutano ulio wakutanisha wadau mbali mbali wa mazingira ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ijulikanayo kama LEAT lengo likiwa ni kuiwezesha jamii na Serikali kushiriki , kujadili na kufanya maamuzi ya pamoja katika usimamizi wa maliasili kupitia mfumo wa ufuatiliaji wa uwajibikaji (UJU).

“Ni marufuku kukata miti katika wilaya yangu na nitoe agizo kwamba hata ukiwa na kibali hakikisha unapata na barua toka katika ofisi ya mkuu wa wilaya kinyume na hapo utakuwa umekiuka taratibu tulizo jiwekea” Amesema Mh kasesela, “ukataji wa miti umekuwa na madhara makubwa sana kwa mfano angalieni Kijiji Mfyome palivyo hivi sasa ni tofauti kabisa na palivyo kuwa miaka ya nyuma ilikuwa nadra sana kuona ardhi ukiwa juu katika eneo lile lakini angalia hivi sasa jinsi palivyo haribika hii yote ni kwakuwa miti inakatwa hovyo”
aliendelea Mkuu wa wilaya.
Katika hotuba yake ameweka wazi pia mkakati wa Serikali kuhamisha wote waliojenga katika vyanzo vya maji pia wanao fanya shughuli zozote ambazo si rafiki na vyanzo hivo ikiwemo kufyatua tofari na kulima (Vinyungu) wataondolewa .“Hivi sasa tumeanza zoezi la kukamata tofari zote zilizo katika vyanzo vya maji na hadi sasa tumesha kamata tofari zisizo pungua laki moja na zote zitaenda kujenga madarasa” amesisitiza pia kuwa ni marufuku kufanya shughuli yeyote mita sitini toka kilipo chanzo cha maji na atakae kiuka agizo hilo taratibu za kisheria zitafata mkondo wake.

Mh Kasesela amependekeza kuwa uanzishwe ufugaji nyuki katika maeneo ambayo hayatumiki “Nadhani katika baadhi ya maeneo tunaweza fanya ufugaji wa nyuki kwanza watakuwa walinzi wa misitu yetu pili watakuwa chanzo cha kipato pia ningependekeza wale nyuki wakubwa” , mkutano huo uliowakutanisha madiwani na wadau toka MBOMIPA , NJUMIKIK na wawakilishi toka Pawaga ,Idodi , Tungamalenga , Iringa mjini , Karenga na maeneo mengine ya Wilaya ya Iringa.
Akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya ya utunazaji Maliasili Bwana Ngola Magosi alisema “ kumekuwa na changamoto kubwa katika utunzaji wa mali asili , vijiji havitoi kipa umbele suala la misitu, viongozi na watendaji kujiusisha na uvunaji haramu wa misitu, ushirikiano mdogop uliopo kati ya jeshi la polisi na suala zima la kusimamia misitu. Haya yote yanafanya kazi iwe ngumu sana”

Mkutano huo ulijumuisha madiwani, wakuu wa idara wa halmshauri ya Iringa, watendeaji pamoja na jumuia za watunza maliasili. Mkutano umeazimia kuitisha kikao cha viongozi wa ngazi za juu akiwemo Mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya wote, wakurugenzi wa halmashauri pamoja na wenyeviti wa halmashauri. Pia mashirika yasiyo ya kiserikali yanayo husika na mali asili.