SITTA AFARIKI: Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani, Mwanawe Benjamin Sitta athibitisha.
Leo asubuhi November 7
2016 watanzania wameamka na habari za kusikitisha baada ya taarifa za
kifo cha Spika Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Samwel
Sitta.
Taarifa zinasema Mzee Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika
hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa
akipatiwa matibabu tangu mwezi uliopita.
Benjamin Sitta ni mtoto wa Marehemu Samwel Sitta hapa amezungumza kuhusu
kifo cha baba yake Mzee Sitta……>>>‘Mzee alikuwa anasumbuliwa
na saratani ya tezi dume ambayo imekwenda kuathiri viungo vingine, siku
zote ambazo alikuwa amekwenda nje kujaribu kupambana nayo lakini kwa
bahati mbaya ilienea sana na kuanza kuathiri viungo vingine mpaka miguu’
Today Deal $50 Off :
https://goo.gl/efW8E

bahati mbaya ilienea sana na kuanza kuathiri viungo vingine mpaka miguu
Today Deal $50 Off :
https://goo.gl/efW8Ef

Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu Bw SAMUEL SITTA, amesema kuwa Mzee
Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia LEO na alikuwa akisumbuliwa na
Saratani ya tezi dume.
Mungu ailaze mahala pema peponi Roho ya marehemu Mzee Samwel Sitta. AMENI
Toa Maoni Hapa Chini