Mkuu wa mkoa wa Iringa azindua Oparesheni Komaza. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, November 9, 2016

Mkuu wa mkoa wa Iringa azindua Oparesheni Komaza.


 Na Daniel Kilonge: 
  Oparesheni Komaza. imeandaliwa na kamanda wa mgambo wa wilaya ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richald Kasesela
 Displaying IMG_2909.JPG


Wanamgambo zaidi ya mia mbili wameshiriki katika zoezi la oparesheni komaza mkoani Iringa ambalo limezindukiwa Rasmi na mkuu wa Mkoa huo Bi Amina Masenza. 

Akizindua zoezi hilo katika viwanja vya shule ya msingi Mlandege mkoani Iringa likiwa limewakusanya vijana toka vijiji vya Mboliboli, Wasa, Idodi na kwingineko wilayani Iringa lengo likiwa ni kuwajengea uwezo Wana-mgambo na kuwaandaa kuwa vijana wazalendo kwa taifa. 


Displaying IMG_2920.JPG Zoezi hilo ambalo litachukua siku nne porini likihusisha mazoezi ya ukakamavu pamoja na mazoezi mengine ya kijeshi kwa wanamgambo hao, limeandaliwa na kamanda wa mgambo wa wilaya ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richald Kasesela ambaye ameyaomba makampuni ya ulinzi kuanza kuwatumia vijana waliopitia mgambo ili kupunguza idadi ya vijana wasio na ajira mtaani. 

Displaying IMG_2892.JPG Akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh Kasesela amesema “Tumeamua kuwa na kikosi mahili ili kisaidie kupambana na majangili pamoja na wahamiaji haramu ambao wamekuwa tishio katika wilaya yetu” Mafunzo hayo yataenda sanjali na zoezi la kulenga shabaha pamoja na kuweka kambi porini kwa siku nne ambapo Mh Kasesela atashiriki pia. 


Katika hotuba yake kwa vijana wa mgambo, Mkuu wa mkoa wa Iringa, Bi Amina Masenza amesisitiza kuwa Jeshi la mgambo lina msaada mkubwa sana katika ulinzi wa taifa hivyo ni muhimu sote tukachukulia mafunzo haya kama chachu ya maendeleo, ulinzi na usalama hivyo amewataka viongozi wote wa siasa waache mara moja kuingilia shughuli yeyote inayohusishwa na jeshi hili la mgambo kwani jeshi halina itikadi yoyote. 


Displaying IMG_2900.JPG Akizungumza mbele ya mkuu wa mkoa mshauri wa mgambo wilaya ya Iringa afande J.M KITA amewashukuru baadhi wa wadau kwa misaada waliyotoa katika kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa “Mheshimiwa mkuu wa mkoa nitakuwa sina fadhira nisipo washukuru baadhi ya wadau kwa misaada yao kwanza kabisa nimshukuru ndugu Sallim Asas kwa msaada wa shilingi milioni moja ambazo tumeziingiza moja kwa moja katika kughalamia chakula kwaajili ya vijana wetu pia nimshukuru meneja wa TANROAD wilaya yeye ametoa Mchele kwaajili ya vijana hawa lakini nitoe rai kwa wadau ambao wataguswa kusaidia maana bado tunahitaji msaada wao wa hari na mali” .
Displaying IMG_2931.JPG
 Katika kuhakikisha zoezi linaenda sawa Bi Amina Masenza Akatoa gunia la mahindi ili likasaidie chakula kwa wanamgambo wakiwa mafunzoni “Tunashukuru sana kwani sasa tuna hakikia vijana hawata pata shida kwenye suala la chakula” akashukuru mshauri wa mgambo wa wilaya.

 Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, mshauri wa mgambo wilaya ya Iringa afande J.M KITA amewashukuru baadhi wa wadau kwa misaada waliyotoa katika kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa. 

Displaying IMG_2896.JPG
Afande Kitta amewataja baadhi ya wadau waliochangia kuwa ni pamoja na ndugu Sallim Asas aliyetoa shilingi milioni moja ambayo imeziingizwa moja kwa moja katika kughalamia chakula kwaajili ya vijana hao, naye meneja wa TANROAD wilaya ya Iringa ametoa Mchele kwaajili ya vijana hao. 
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza


Kisha Afande KITA akatoa rai kwa wadau ambao wataguswa kusaidia maana bado kuna uhitaji wa msaada wa hali na maali ili kufanikisha ziezi hilo. Katika kuhakikisha zoezi linaenda sawa Bi Amina Masenza Akatoa gunia la mahindi ili likasaidie chakula kwa wanamgambo wakiwa mafunzoni na akatoa shukrani kwa wadau na kusema kuwa sasa kuna uhakikia kuwa vijana hawatapata shida kwenye suala la chakula.
Displaying IMG_2930.JPG

CREDIT TO  
 Daniel Kilonge: 
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.