Naitwa Wiseman Luvanda Mkurugenzi wa Taasisi ya wanamazingira Appreciate Tanzania yenye makao mkuu mkoani mbeya...
|
Wiseman Luvanda Mkurugenzi wa Taasisi ya wanamazingira Appreciate Tanzania |
NIMEJITOLEA KUPAZA SAUTI KWA BAISKELI TOKA MBEYA HADI DAR
nitapita mikoa ya Njombe Iringa Morogoro Pwani na kumalizia Dar es na kupokelewa na Wana RSA wa Dar....
Appreciate Tanzania Ni Asasi
hii ni ya kujitolea ambayo haifungamani na upande wowote wa siasa dini
wala kabila yenye malengo ya kuhamasisha Watanzania kuthamini na kuamini
hali zao nzuri za kimaisha zitaboreka kwa kulinda , kuthamini na
kuamini mazingira waliyomo ndiyo chachu kubwa ya maendeleo yao.
|
Wiseman Luvanda |
|
Wiseman Luvanda akiwa na afisa utamaduni mkoa wa Mbeya |
|
Wiseman Luvanda akiwa na Muwakilishi wa RTO mbeya |
|
Wiseman Luvanda akiwa na Mkurugenzi wa Sumatra mkoa wa Mbeya |
|
Wiseman Luvanda akiwa na Rais wa awamu ya nne Mh. Dr. Jakaya Kikwete |
|
Nyumba ya safari |
|
Barua ya ombi |
Toa Maoni Hapa Chini