Orodha Rasmi ya Washiriki wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards Nominees 2016/17) Hii Hapa.
Jioni ya tarehe
Machi 31, zoezi la kutafuta
washiriki watakaowania Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazoandaliwa na
kampuni ya GospoMedia lilifikia kilele ambapo washiriki katika vipengele
mbalimbali walitajwa.
Kamati ya uandaaji iliweka wazi majina ya washiriki mbele ya
waandishi ya habari katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika
katika kituo cha cha maombi cha Eloi kilichopo Kigamboni jijini Dar Es
Salaam.
Ifuatayo ni orodha kamili ya waimbaji na wadau mbalimbali
waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Gospo Awards
ambao wataanza kupigiwa kura tarehe 2/03/2016 kupitia tovuti ya
GospoMedia.Com
Orodha Rasmi ya Washiriki wa Tuzo za Gospo Award 2016 -2017
TUZO NO.1:
Muimbaji Bora wa kiume (Best Male Gospel Music Singer of the Year)
Goodluck Gozbert
Paul Clement
John Lissu
Shadrack Robert
Mess Chengula
Sifaeli Mwabuka
Joshua Makondeko
Bomby Johnson
TUZO NO.2:
Muimbaji Bora wa Kike (Best Female Gospel Music Singer of the Year)
Angel Benard
Jessica Bm Honore
Miriam Jackson
Christina Shusho
Beatrice Mwaipaja
Beatrice Kitauli
Lilian Kimola
Lilian Ngowi
TUZO NO.3
Wimbo Bora wa Mwaka (Best Music Song of the Year)
Heri Lawama – Sifael Mwaibuka
Salama – Angel Benard
Amewazidi Wote – Bahati Bukuku
Ipo Siku – Goodluck Gozbert
Amenifanyia Amani – Paul Clement
Mungu Umenihurumia – Beatrice Mwaipaja
Ni Bwana – Miriam Jackson
Akutendee nini – Christina shusho
TUZO NO.4:
Video Bora ya Mwaka (Best video of the Year)
Ipo Siku – Goodluck Gozbert
Amenifanyia Amani – Paul Clement
Akutendee Nini – Christina Shusho
Nijaze Roho – Shadrack Robert
Salama – Angel Benard
Moyo Wangu Hauna Woga – Mess Chengula Feat Upendo Nkone
Jina Yesu – Jessica Bm
Mungu Umenihurumia – Beatrice Mwaipaja
TUZO NO.5:
Wimbo Bora wa kuabudu (Best Worship Song)
Salama – Angel Benard
Mfariji – Jessica Bm
Nijaze Bwana – Gifted
Nafsi Yangu – Eunice Mtavangu
Kuna Namna – Rogate Kalengo
Wewe Uko Hapa – Judith Mbilinyi
Umenikubali – Agnes Benedict
Nataka Nikuabudu – Milca Kakete
TUZO NO.6:
Wimbo Bora wa Gospel HipHop (Best Gospel HipHop Song)
Utakatifu – Rungu la Yesu
Yesu Anakupenda – Machalii wa Yesu
Bonde – Elandre
Songa Mbele – Yesu Okoa Mitaa(Y.O.M)
Shalom – Bishop Abrah
Mungu ni pendo – Dona Feat Hycomakael
Ninakupenda – Novic Bcvm Feat Jadah
Show Me – T-more
TUZO NO.7:
Kundi Bora la Mwaka (Best Group of the Year)
The Doxaz
Glorious Worship Team (G.W.T)
Jaela trio
New Jerusalem Brothers
Soul Brothers
The Worshipperz
Yesu Okoa Mitaa
Machalii wa Yesu
TUZO NO.8:
Mtayarishaji Bora wa Audio (Gospel Music Audio Producer)
Amizy – Enzi Records
Success classic – Fm Music Lab
Kingson – Mefo studios
Innocent Mujwahuki – Push-Up Records
PG – PG Production
Eck nyongoto – Eck Pro
Ayoub-Mendrick Studio
Goodluck Gozbert-Mpo Afrika studios
TUZO NO.9:
Mtaarishaji Bora wa Video (Gospel Music Video Director)
Kilonzo
Allen Massala-Urban Videos
Pyuza Rich
Yoel Mrisho
Debro Gabriel – Eagle View pro
David Shija – Usanii Experts
Einxer – Mr.maxum
John Maulid
TUZO NO.10:
Album Bora ya mwaka (Best Gospel Music Album)
New Day – Angel Benard
Mtakatifu – John Lisu
Natamani – Sarah Ndosi
Tutapita kati kati yao – Joshua Makondeko
Heri Lawama – Sifael Mwabuka
Ipo Siku – Goodluck Gozbert
Jina Yesu – Jessica Bm
Moyo wangu hauna woga – Mess Chengula
TUZO NO.11:
Muimbaji Bora mpya wa Mwaka (Best Gospel Music Upcoming Artiste)
Betty Barongo
Ikupa Mwambenja
Rogate Kalengo
Walter Chilambo
Jenniffer Sitta
Eunice Mtavangu
Judith Mbilinyi
Joel Lwaga
TUZO NO.12:
Wimbo Bora wa kushirikiana (Best collabo)
Amen – Miriam Lukindo Mauki feat Paul Clement
Hufananishwi – Fabian Fanuel Feat Goodluck Gozbert
Washangaze – Neema Mudosa Feat Goodluck Gozbert-
Ni Bwana – Miriam Jakson Feat Goodluck Gozbert
Kesho – Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-
Usikate Tamaa – Elizabeth Ngaiza Feat Christopher Mwahangila
Moyo Wangu Hauna Woga – Mess Chengula Feat Upendo Nkone
Halleluya – Mathias Hondwa feat E.Mbasha
TUZO NO.13:
Wimbo Bora wa mwaka kutoka Afrika mashariki (Best East African Song)
Mkono wa Bwana – Mercy masika
Nifunze – Janet Otieno
Tenda Wema – Ringtone ft.Christina Shusho
Itakuwa Sawa – Bahati Kenya
Zavuma – Pitson
Pale Pale – Size 8
Mavuno – Mireille Basirwa ft. Christina Shusho
Huyu Yesu – Mercy Masika & Angel Benard
TUZO NO.14:
Mtangazaji Bora wa Mwaka (Best Gospel Music presenter)
Haris Kapiga – Clouds Fm
Silasi Mbise – Wapo Radio
John Pazia – Fountain Radio
Emmy Reid Mshana – Ukombozi fm
Daniel Mngoma – Ngurumo Ya Upako
Mauthobby (Kipande) – E-fm
Adof Nzwala – Jembe Fm
Boniface Magupa – Praise Power Radio
TUZO NO.15:
Kipindi Bora cha Radio (Best Gospel Music Radio Program)
Gospel Traxx – Clouds Fm
Jembe Gospel – Jembe fm
Jukwaa la waimbaji – N.Y.U
Sifa Moto – Praise Power
E-gospel – E-fm
Praise Time- Radio Habari Maalumu
Full Shangwe – Kwa Neema fm
Maximum Praise – Ukombozi fm
TUZO NO.16:
Kipindi Bora cha Tv (Best Gospel Music Tv Program)
Tumwimbie Bwana – TBC
Mwangaza – ITV
Chomoza – Clouds Tv
Nuru – EATV
Gospel Music – Channel Ten