Uko Hapa Tour The Sound of Worship ambayo iliandaliwa nae John
Lisu akiwa na timu yake katika ukumbi wa St Mary's Forest Mpya na ikiwa
ni baada ya miaka 15 kupita tangu ahudumu katika jiji hilo watu wengi
walipata nafasi ya kujumuika nae kumsifu Mungu.
Sasa
na Apostledarmacyblogspot.com inakupa wakati mzuri wa kuangalia picha zaidi jinsi mambo yalivyokuwa
TUNTUFYE Ndiye alifungua pazia la uimbaji
PETER MBUBA naye akafuatia
MWANJISI akapanda
IMMA MOPAO akakamata Solo Gitaa na kumtukuza MUNGU
Baada ya hapo kijana Joel akapanda
AMBWENE MWASONGWE NAYE AKAHUSIKA
PRAISE TEAM KUTOKA T.A.G FOREST YA ZAMANI
DR CHACHA AKATOA NENO
JOHN LISU NA TIMU NZIMA WAKACHUKUA NAFASI
AKAMKARIBISHA MCH: TAMBIKENI WA T.A.G FOREST YA KWANZA NA MKEWE KUSALIMIA ( Mwenyeji wa Lisu Mbeya)
BAADA YA HAPO SHUGHULI IKAANZA
|
Dr Chacha akifanya maombi kwa watu wenye mahitaji mbalimbali |
|
John Lisu akifanya maombi kwa waimbaji wa Mbeya waliopita mbele kuombewa |
|
Mchungaji Tambikeni akiendeleza maombi |
|
Waandishi nao walitimiza wajibu wao |
|
Lisu akimfanyia mtoto maombi. Mtoto huyu aligoma kuondoka hadi aombewe |
|
Picha ya kumbukumbu ikachukuliwa na msomaji wa GK |
|
Kutoka kulia ni Mtayarishaji wa mziki Masanja, Joel pamoja na Kiongozi wa Praise Team T.A.G Forest ya kwanza wakipata kumbukumbu |
Hizo ndio picha za tukio zima la Uko Hapa Tour The Sound of Worship
jijini Mbeya.