Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano naVyuo vya Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
SELECT LINK
http://www.pmoralg.go.tz/selection/index.php
MAELEKEZO: Matokeo yanatoka kwa kituo kizima ulichofanyia mtihani.
Jinsi Ya Kupata kituo chako:
Kwenye kisanduku anza kuandika jina la kituo ulichofanyia mtihani na usubiri, jina lililokamilika la kituo litajimalizia lenyewe ikiwemo namba ya kituo.
Mfano: Nyampulukano, Halafu Subiri kidogo ili ijimalizie yenyewe

Ukishachagua utabofya neno 'retrive' na utapata majina ya shule yako yote uliyotoka.
Toa Maoni Hapa Chini