KUPATA LENGO LA MAISHA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, November 25, 2015

KUPATA LENGO LA MAISHA

Swali: "Bibilia inasema  nini kuhusu jinsi ya kupata lengo la maisha?"

Na Apostle Darmasy

Jibu: Bibilia iko wazi kuhusu vile lengo linastahili kuwa katika maisha. Wanadamu katika Agano La Kale na Agano Jipya walitafuta na kugundua lengo la maisha yao.
katika kitabu cha Mhubiri: Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 
Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya” (Mhubiri 12:13-14). Suleimani anasema maisha yote ni kumheshimu Mungu na mawazo yetu na maisha na kuzitunza amri zake, kwa maana siku moja tutasimama mbele yake kwa hukumu. Sehemu ya lengo letu katika maisha ni kumcha Mungu na kumtii.

Sehemu nyingine ya lengo letu ni kuyaona maisha katika dunia hii kwa taswira.
 Mfalme Daudi  Alisema, “Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Naimkapo nishibishwe kwa sura yako”( Zaburi 17:15). 

Mtume Paulo alizungumza juu ya yale yote aliyoyapokea kutoka kwa dini za vikao kabla akutane na Kristo aliyekuwa amefufuka, na anatamatisha kuwa yote yalikuwa kama mlima wa mbolea akilinganisha uzuri wa hekima ya Kristo Yesu. Katika Wafilipi 3:9-10, Paulo anasema kuwa hataki kitu kingine zaidi kuliko kumjua Kristo na “kupatikana ndani yake” kuwa na utakatifu wake na kuishi kwa Imani ndani yake, hata kama ingemaanisha kuwa angepata mateso na kufa. 
Lengo la Paulo ilikuwa kumjua Kristo, kuwa na utakatifu unaopatikana kupitia kwa imani kupitia ndani yake, na kuishi katika ushirika na Yeye, hata wakati hayo yangeleta matezo ( 2 Timotheo 3:12). Hatimaye, alitazamia wakati ambao atakuwa mmojawapo wa watakao “fufuka kutoka kwa wafu.”

Lengo letu katika maisha, vile Mungu alivyokwisha tuumbia awali ni;
 1) kumtukuza Mungu na kufurahia ushirika na Yeye, 
2) kuwa na uhusiano mwema na wengine, 
3) Tufanye kazi, na  tuwe na mamlaka juu ya nchi. 
Lakini kwa kuanguka kwa mwanadamu katika dhambi, ushirika na Mungu umevunjwa, uhusiano na wengine umearibika, kazi kila mara inaoneka kuwa ya shida, na mwanadamu anataabika kutunza mamlaka juu ya anga. Ni kupitia kwa urejesho na Mungu peke, kupitia kwa imani katika Yesu Kristo, lengo katika maisha linaweza gunduliwa.

. Tunamfurahia Mungu kwa kufuata lengo lake katika maisha yetu, ambayo inatuwezesha kuwa na furaha isiyo na mwisho- wingi wa maisha ambaye anataka tuwe nayo.