SOMO: FAIDA ZA KUTEMBEA KATIKA BARAKA ZA AGANO NA MUNGU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, January 29, 2016

SOMO: FAIDA ZA KUTEMBEA KATIKA BARAKA ZA AGANO NA MUNGU

LENGO: Kukusaidia uzidi kufaidika na baraka zinazopatikana ndani ya imani uliyonayo katika Kristo Yesu.
Kutokuwa na msukumo wa kuwashuhudia wengine habari za Yesu ni dalili ya kutokuridhika na wokovu.
Usipoona faida ya kuwa ndani ya Yesu huwezi kupata msukumo ndani yako wa kushuhudia wengine.

Neno kuu: Eph 1:3

SIKU YA KWANZA.

MSISITIZO: BARAKA ZA AGANO. Msisitizo zaidi kwenye agano lenyewe.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA (MSINGI)

1. Mungu anaweza kumbariki mtu nje/ ndani ya agano naye. Mwanzo 17:15-21
Ishmael alibarikiwa na Mungu nje ya agano.
Isaka alibarikiwa na Mungu ndani ya agano.

2. Unaweza ukawa ndani ya agano na Mungu na usifaidike na baraka zilizomo ndani yake. Mwanzo 39:1-6
Mfano: Yakobo
Yakobo alitakiwa afaidi baraka za agano, lakini kwa kuuzwa kwa Yusufu baraka zote zilikwenda misri.

3. Kufaidika na baraka zilizopo ndani ya agano ni uamuzi wako hata kama wewe ni mhusika wa agano hilo. Kumb 30:19-20
Mungu ameweka uchaguzi ndani ya agano kuna baraka na laana, uzima na mauti. Ndani ya agano kuna mabadilishano.

4. Hali yako ya maisha inategemea kama unatembea na kuishi katika agano la Mungu. Mwanzo 49:1-2,28
Kitu kilichobadilisha watoto kuwa kabila ni baraka walizoachiliwa na baba yao Yakobo.
Kuna baraka zinazotengeneza na kubadilisha maisha ya watu. Mwanzo 28:1,6-7.

Mwl.Christopher Mwakasege :

1.Baraka zinazokuja kwa Kuwa umeomba ingawa zipo nje ya Baraka zako za kurithi zilizopo nje ya agano la Mungu.
Mwanzo 17:17-
Mwanzo 15:17-18
*Je Baraka nazoomba kwa Mungu zipo kwenye agano au hazipo?
Galatia 3:13,14,29

*Si kila mkristo ni mali ya kristo
Galatia 4:6-7
Warumi 8

***Usisome Biblia kama biblia BALI Soma Biblia kama Agano
Tunaomba sawasawa na Mapenzi ya Mungu.

2.Baraka za kujitafutia na zile zilizopo katika agano.
-Baraka za agano hutafuti yan zipo ila unazipata kutokana na maelekezo unayopewa.
Mwanzo 17:15-17

-Humuhitaji Ishmael kama Isaka hayupo.
-Baraka inakuja na baraka
Mwanzo 28:1-9

Agano lina msimamo wake.

*Agano ndani ya agano,yan hutafuti mume bali unapewa mume.
Makusudi maalumu ya ndoa yanayowekwa na Mungu yapo ndani ya agano.

Ukiingia kwenye ndoa na Ibrahim unakuwa umeingia kwenye agano la Mungu na Ibrahim.
Ni sawa na mdada anayetaka kuolewa na mchungaji lakini hataki kuwa mama mchungaji,Hahahahahahaha

*kuoana ni kusimama pamoja na kulitumikia kusudi pamoja siyo kukaa tu pamoja..Upate yule ambaye Mungu kamuweka kwa ajili yako..

3.Kutaka kubarikiwa kwa kufuata mkumbo badala ya kufuata maelekezo ya Mungu.
Mwanzo 49:28
Mwanzo 26:1-5

******Usijaribu kuishi kwa mkumbo kwa sababu wewe ni Mtu wa tofauti******NI GHARAMA KUBWA MNOO.

-Je kufanikiwa kwako unaiga kwa nani?
-Kila mmoja ana mbaraka wa kwake.

-Hakuna namna ambayo uzao wako ukaharibika kama upo kwenye agano na Mungu.
-Huwezi kuitwa kama huitajiki.

Mungu anakupa nafasi kwasababu kuna kitu umebeba ndani yako