Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kuwatoa wafungua 78 gerezani kwa kuwalipia faini ya Tsh. Mil. 25 | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, September 16, 2016

Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kuwatoa wafungua 78 gerezani kwa kuwalipia faini ya Tsh. Mil. 25

Kitendo hicho kimepunguza msongamano wa wafungwa gerezani na kuokoa fedha za serikali ambazo zilikuwa zinatumika kuwalisha wafungwa wao. Aliongeza kusema kitendo alichokifanya ni kitendo kitakatifu ambacho hakijawahi kufanywa na mtu yeyote kwenye historia ya nchi yetu kwahiyo anastahiri kuitwa "MTAKATIFU MWENYE HERI" sawa na mtakatifu Theresa waindia ambaye alitumia maisha yake yote kuwasaidia watu maskini na wasiojiweza.

BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE NA JOPO LA WACCHUNGAJI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WAKIMUOMBEA MH. DKT. AUGUSTINO MREMA KATIKA OFISI YA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

Siku ya Alhamisi 15.09.2016 Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiwa na wachungaji wa Mlima wa Moto na waandishi wa habari aliweza kumuombea afya njema na kazi yake ya kulijenga Taifa.
Mh. Dr. Augustino Lyatonga Mrema alifika kanisani hapo kwaajili ya kumpongeza Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa kuwatoa wafungua 78 gerezani kwa kuwalipia faini ya Tsh. Mil. 25
Tunamshukuru sana Mungu kwa kumuwezesha "Super Woman" (kama wadau walivyo,pa jina hilo) Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kuchukua hatua ya busara na yenye hekima kumuombea kiongozi mkubwa wa serikali.
Tuna kila sababu nasi kumuombea Mh. Dkt. Augustino Mrema ili azidi kufanya kazi yake ya kulijenga Taifa la Tanzania. Tunakumbuka katika viongozi waliotikisa na kuhamasisha Ukristo miaka iliyopita alikuwa ni Mh. Dkt. Augustino Mrema, nasi leo tuna kila sababu ya kumpongeza na hasa kumuombea yeye na familia yake.

Kukosekana kwa fedha ya kukamilisha mchakato wa sheria ya Parole kwa wafungwa mbalimbali nchini waliomaliza nusu ya kifungo chao gerezani ni miongoni mwa sababu yakuwepo mrundakano wa wafungwa katika magereza Tanzania.
Akiongea na waandishi wa habari hii leo jijini Dar es salaam wakati akimpongeza na kisha kumteua Mchungaji Dkt. Getrude Lwakatare kuwa mratibu wa harambee ya kuchangisha fedha kwaajili ya kuwalipia wafungwa wanaotakiwa kutoka gerezani chini ya sheria ya Parole Mwenyekiti wa bodi ya Parole Taifa Augustino Lyatonga Mrema amesema ili mfungwa atolewe gerezani ni lazima maofisa wa parole wafuatilie nakala ya hukumu.
“Ni lazima maofisa wa parole wafuatilie nakala ya hukumu kwenye mahakama iliyomukuhumu na waende kuonana na uongozi wa kijiji au mtaa ambapo mfungwa atenda kuishi anapotoka gerezani ikiwa ni pamoja na kuonana na familia yake na pia kuonana na watu waliowakosea ili jamii ya eneo hilo itambue kuwa ataachiwa huru” amesema