Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Ni katika kanisa la Kirumba Christian center KVCC chini ya Mchungaji Geoffrey Lugwisha
Ibada katika ibada iyo watu waliokoka na kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na mwokozi katika maisha yao pia ibada iliambatana na ubatizo wa maji mengi
UBATIZO WA MAJI MENGI WA KIBIBLI A
N i muhimu kufahamu kuwa Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu katika maji tele (MATHAYO 3:13-17 ). Yesu Kristo alibatizwa katika mto Yordani kwasababu huko kulikuwa na maji tele. Yohana mbatizaji alikuwa akibatiza sehemu zenye maji tele ili watu waweze kuzamishwa katika maji kama tutakavyoona maana ya ubatizo na kwa nini kuzamisha katika maji tele. Yohana mbatizaji hakubatiza Yordani tu, alibatiza Ainoni karibu na Salimu kwa sababu huko kulikuwa na maji tele.
YOHANA 3:23 “Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwasababu huko kulikuwa na maji tele, watu wakamwendea wakabatizwa”. Ubatizo lazima ufanye kwenye maji tele ya kumtosha mtu kuzamishwa.
MAANA YA NENO KUBATIZWA AU UBATIZO
Lugha za asili za biblia kabla ya tafsiri mbalambali ni kiebrania na kiyunani . Agano la kala iliandikwa kwa lugha ya kiebrania na again jipya iliandikwa kwa kiyunani .