VIDOKEZO MUHIMU KUHUSU UBALOZI NA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, September 6, 2016

VIDOKEZO MUHIMU KUHUSU UBALOZI NA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI

RSA ni Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani Tanzania (Tanzani Road Safety Ambassadors) inashughulika na kuimarisha usalama barabarani kupitia elimu

1. KWANINI NIWE BALOZI WA USALAMA BARABARANI?
Kwasababu wewe ni miongoni mwa Watanzania ambao wana HAKI ya kutumia barabara zinazotengenezwa kutokana na kodi zao, hivyo una WAJIBU wa kuhakikisha kuwa barabara hizo zinakuwa salama kwa matumizi ya kila Mtanzania, kwa kushiriki kukemea, kuelimisha na kuripoti kuhusu matumizi yasiyo sahihi ya barabara hizo.
 
2. NANI ANAYESTAHILI KUWA BALOZI WA USALAMA BARABARANI?
Kila Mtanzania mwenye kujitambua anastahili kuwa balozi wa usalama barabarani kwasababu usalama barabarani, ni jukumu letu sote

3. NI NINI ANATAKIWA KUFANYA BALOZI WA USALAMA BARABARANI?
1. Kuelimisha kuhusu matumizi sahihi ya barabara
2. Kukemea matumizi yote yasiyo sahihi ya barabara
3. Kuripoti pale inapobidi, kwa maana baada ya kushindikana juhudi hizo za hapo awali
 
4. WAPI PA KURIPOTI KUHUSU UVUNJIFU WA SHERIA ZA BARABARANI?
Matukio yote ya uvunjifu wa sheria za usalama wa barabara yanatakiwa kuripotiwa kwenda Trafiki Makao Makuu kwa namba 0682 887 722, au Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Nchini (SUMATRA) namba 0800 110 019 / 0800 110 020. Kwa matukio ya ajali (yasiyo husisha makosa ya kawaida), ni vyema pia kutoa taarifa kwenda kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kupitria namba 114, mahali popote unapokutana na tukio la namna hii

5. WAKATI GANI NAWEZA KUTOA TAARIFA ZA UVUNJIFU WA SHERIA ZA BARABARANI
Taarifa yoyote kuhusiana na ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani, inatakiwa kutolewa haraka iwezekanavyo kwenda namba zilizoainishwa hapo awali, kwani kitendo cha wewe kuchelewa kutoa taarifa, kinaweza kusababisha maafa makubwa ndani ya muda mfupi sana. Kumbuka ajali ni kitendo kinachoweza kutokea ndani ya sekunde chache sana.

6. NAMNA GANI NAWEZA KUWA BALOZI BORA WA USALAMA BARABARANI?
Kwa kuhakikisha unatimiza majukumu ya ubaloizi kama yalivyoainishwa hapo awali. Na kwa upande wa utoaji taarifa, kwa kuhakikisha kuwa taarifa zako zinakuwa haziachi mwanya wa maswali kwa wanaotakiwa kuzifanyia kazi. Mathalani, taarifa iliyo kamili inatakiwa ijumuishe Namba ya Gari, Eneo la kosa, Uelekeo wa gari husika, aina ya kosa lililotendeka pamoja na picha au video ikiwa ulikuwa katika nafasi nzuri ya kufanya hivyo.

Onyesha Unajali kwa kumshirikisha mwenzio ujumbe huu kwasababu USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE

Rama Msangi
RSA Admin5
posted by Anthony Damas RSA UoI