MAKATO YA VAT KWENYE MALIPO YA MUDA WA MAONGEZI SIMU ZA MKONONI YAANZA RASMI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, November 22, 2016

MAKATO YA VAT KWENYE MALIPO YA MUDA WA MAONGEZI SIMU ZA MKONONI YAANZA RASMI

Kuanzia sasa watumiaji wa simu za mkononi watatakiwa kuzoea kupata ujumbe unaosomeka “umefanikiwa kuongeza sh. xxxx/=. VAT ni sh. xxxx na Salio lako jipya ni xxxx.” kila wanapoongeza muda wa maongezi katika simu zao za mkononi.
 
Tarakimu za kiasi cha pesa, VAT na salio yatategemea thamani ya muda wa maongezi ulionunua na thamani ya muda wa maongezi uliokuwepo kwenye simu hapo awali ukijumlisha na muda wa maongezi ulionunua baada ya makato ya VAT.
Mabadiliko haya yanafuatia kuanza kutekelezwa kwa marekebisho ya sheria ya VAT Sura 148 kama yalivyowasilishwa na na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango alipokuwa akisoma bajeti ya Serikali bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/17 katikati ya mwaka huu.

Makato ya VAT yatahusisha muda wa maongezi utakaonunuliwa kupitia vocha, kurushiwa na wauzaji wa muda wa maongezi na hata kupitia njia za kibenki kama MPESA, TigoPesa na Airtel Money