VIJANA WATAKA USHIRIKI KATIKA VIKAO VYA UFANYAJI MAAMUZI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, November 21, 2016

VIJANA WATAKA USHIRIKI KATIKA VIKAO VYA UFANYAJI MAAMUZI

Na Anthony Damas

Iringa. Vijana wa kijiji cha Mafuruto kata ya Mlowa wilaya ya Iringa Vijiji wamesema hayo mbele ya Mratibu Mwandamizi wa mradi wa Kijana Wajibika  Bw. Oscar Kimaro ambao unasimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Vijana la Restless Development.

Mratibu Mwandamizi wa mradi wa Kijana Wajibika  Bw. Oscar Kimaro

Kwa mujibu wa Bw. Kimaro amewashauri vijana kujiuliza kwanza wanafikria nini, na wana mchango gani katika mipango ya maendeleo ya jamii huku akitolea mfano wa namna vijana hao wanaweza kujengewa uwezo ili kutumia takwimu kusaidia kupanga  mipango ya maendeleo katika kijiji husika ambayo itawanufaisha.

Wakizungumza katika mkutano huo uliokutanisha vikundi mbalimbali, vijana hao wamedai kutokuwa na uelewa juu ya mipango ya maendeleo zikiwemo fursa za upatikanaji wa mikopo toka mfuko wa maendeleo ya vijana na mpango wa serikali kupeleka shilingi milioni hamsini kwa kila kijiji kutoka serikalini.

Vijana hao wametoa rai kwa maafisa maendeleo ya jamii katika ngazi mbalimbali kuwapatia elimu zaidi ili waweze kujua kwa undani pamoja na kuwasaidia kusajili vikundi vyao ili viweze kutambulika na serikali. 

Aidha vijana hao wamedai wengi wao bado wana makundi ya siasa ambayo yanaleta matabaka baina yao na kuona kuwa kila kitu au mipango ya serikali ni siasa tu.

Pia vijana wamebainisha kuwa wengi wao hawana uwezo wa kuhoji utendaji wa viongozi wao kutokana na uoga au kukosa taarifa juu ya mipango na bajeti za kijiji.

Katika kikao hicho mwenyekiti wa kijiji cha Mafuluto Bw. Bahati Kazimoto  ametoa ahadi ya kuwapatia shamba la kijiji kwa vijana kwa ajili ya kulima kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na kutoa rai kwa vijana wote wa kijijini hapo kuwa na muamko wa kuhudhuria vikao vya kijiji. 

Picha ya pamoja ya vijana wa Mafuruto

Ili kuhakikisha vijana wanashiriki katika ufanyaji maamuzi Bwana Kazimoto ameahidi kuunda kamati ya maendeleo ya vijana ambayo itakuwa inawahusisha vijana katika vikao vyote  vya ndani ya  kijiji na kutoa mrejesho kwa vijana wengine. 

Mwenyekiti wa kijiji Bwana Kazimoto

Mradi huu wa Kijana Wajibika ni muendelezo wa kampeni ya kusimamia uwajibikaji iliyozinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela mapema mwanzoni mwa mwaka huu kupitia balozi wake Eva Tolage (16) ambaye ni mkazi wa kata ya Mlowa. 

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela akisikiliza kwa umakini barua ya  balozi wake Eva Tolage (16)

Kulia ni Bw. Oscar Kimaro Eva Tolage na Athony Damas

http://restlessdevelopment.org/youthpower-standwitheva