AMKA NA BBC January 05, 2017 | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, January 4, 2017

AMKA NA BBC January 05, 2017

 Karibu katika AMKA NA BBC, Kwa machache leo katika

AMKA NA BBC ni pamoja na ;-

Makamu mteule wa Marekani kutoka chama cha Republican Mike Pience amesema hatua ya kuifuta sera ya afya iliyoanzishwa na Rais Obama itafanyika siku ya kwanza ya Donald Trump mamlakani.

Matumaini ya uchaguzi wa Somalia huenda yakatimia baada ya mchakato wa kumpata spika wa bunge kukamilika

serikali ya Bukavu lawamani kwa kutokarabati miundombinu ya barabara na umeme , hali ambayo inayosababisha ajali nyingi na kupanda kwa nauli za usafiri wa ndani ya mji huo.

Mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016 anatarajiwa kujulikana leo, tamasha hilo linatolewa na Shirikisho la soka Barani Afrika CAF Abuja Nigeria hii leo

Wanawake walio wengi wanaishi na madhara yatokanayo na ukeketaji. Licha ya sheria na kampeni za kutokomeza ukeketaji kuendeshwa lakini bado jamii nyingi barani Afrika zimeshikilia utamaduni huo.

Mwanzo mgumu ni kikundi cha utamaduni na nyimbo za asili kilichopo katika mkoa wa Geita na mbali na changamoto mbalimbali zilizopo lakini kikundi hicho kimeweza kudumu kwa zaidi ya muongo mmoja na kumudu kutatua changamoto zao kwa umoja.

AMKA NA BBC

http://www.bbc.com/swahili 