kauli ya papa kuhusu mashoga | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, July 30, 2013

kauli ya papa kuhusu mashoga

SIONI SHIDA KWA WACHUNGAJI MASHOGA, ASEMA PAPA FRANCIS

Papa Francis akijibu maswali ya wanahabari wakati akirejea kutoka Brazil. ©AP
Ni siku moja mara baada ya kurejea kutoka kwenye siku ya vijana duniani, tamasha la asili ya kanisa katoliki ambalo limefanyika mwaka huu nchini Brazil. mara baada ya kurudi Ulaya, Papa Francis amezungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza katika mkutano, na kunukuliwa akizungumzia kuhusu watumishi mashoga.

Katika mkutano na waandihsi wa habari ambao umechukua takriban dakika 82 wakiwa angani, Papa Francis amesema kuwa hana shida na mtu ambaye ni shoga na anamtumikia Mungu kikamilifu.

Nitanukuu kwa Kiingereza na kisha kutafsiri kwa kiswahili rahisi.

"If someone is gay and he searches for the Lord and has good will, who am I to judge?" Francis asked. "We shouldn't marginalize people for this. They must be integrated into society."

Yaani anasema, "Kama mtu ni shoga na anamtafuta Bwana na ana nia njema, mimi ni nani hata nihukumu?" Papa Francis anasema na kuongeza, "Hatupaswi kutenga watu kutokana na hili suala. Inabidi wakubalike na kuchukuliwa ndani ya jamii."

kauli ya Papa Francis inaonekana kukinzana na ile ya mtangulizi wake, Papa Benedick XVI, ambaye mnamo mwaka 2005
, alisaini waraka wa kueleza kuwa wanaume wanaojihusisha na masuala ya ushoga, hawatakiwi kuwa makuhani. Kwa mujibu wa Papa Francis, mtazamo wake ni kwamba watumishi mashoga wasamehewe na dhambi zao zisahauliwe.
Hata hivyo licha ya mtazamo huo wa Papa. Bado sera ya kanisa katoliki hairuhusu masuala kama hayo, ila kutokana na kauli ya kiongozi huyo mkuu wa kanisa katoliki, huenda kukawa na mabadhiliko kwenye mtazamo wa kanisa kuhusu jambo hilo.
Chama kikubwa cha kupigania haki za mashoga nchini Marekani, Human Rights Campaign - wameonekana kufurahishwa na kauli ya Papa, na kusema kuwa, "kwa miaka kadhaa sasa tumeona mashoga na wasagaji wanaotokea Vatican wakikandamizwa, kauli ya Papa inaleta matumaini angalau." Anaeleza Rais wa chama hicho, Chad Griffin.
Katika hatua nyingine Papa Francis alizungumzia kuhusu wanawake kuwa na jukumu zaidi katika kanisa, lakini kusema kuwa bado hawawezi kuwa wachungaji/makuhani.

Papa Francis akishuka kutoka kwenye ndege mara baada ya ndege kutua kwenye uwanja wa ndege wa kivita wa