Bahati Bukuku kuzindua album yake | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, August 27, 2013

Bahati Bukuku kuzindua album yake

Mwimbaji Bahati Bukuku kuzindua album yake mpya inayokwenda kwa jina " Dunia Haina huruma" hivi karibuni

damacy

Mwanamuziki mahiri wa nyimbo za injili Bahati Bukuku ambaye amewahi kutamba kwa muda mrefu kwa nyimbo za injili zilizokonga nyoyo za watu wengie , hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina Dunia Haina Huruma ikiwa katika mfumo wa DVD uzinduzi utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.siku ya tarehe September 8, mwaka 2013
Bahati Bukuku mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania
 katika uzinduzi huo wa DVD yake mpya mgeni rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kua Waziri mkuu mstaafu awamu ya nne mh Edward Lowasa
Mh Edward lowasa anayetarajiwa kua mgeni rasmi katika uzinduzi huo
waimbaji watakaomsindikiza Bahati bukuku katika uzinduzi huo ni pamoja na Rose Mhando,Bonny Mwaitege na Edson Mwasabwite na wengineo.

kama mdau wa muziki wa injili habari ndio hiyo,,,waweza jiongeza na kuhudhuria uzinduzi huo bila kukosa na Mungu akubariki
You might also like: