Elimu Canada | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, August 27, 2013

Elimu Canada

Siri ya maendeleo makubwa ya elimu Canada

Elimu ya Canada hailengi tu kuwapa wanafunzi maarifa, bali inalenga pia kuwafanya wawe wabunifu, hasa katika kutoa mawazo mapya na kutatua changamoto zinazoweza kuhatarisha mafanikio ya nchi hasa upande wa uchumi.

Canada ni miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo katika  sekta mbalimbali, ikiwamo elimu.
Mwandishi wa makala haya, aliyeitembelea nchi hiyo hivi karibuni, amezungumza na Dorris Ngaiza aliyewahi kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vya Canada, anayelezea sababu za nchi hiyo kupiga hatua kubwa kielimu.
Swali: Ulisoma chuo gani na katika fani ipi?
Jibu: Nilisoma Chuo Kikuu cha Carleton kilichopo Ottawa na kuhitimu mwaka 2012. Kozi niliyosomea ni Shahada ya Kwanza ya Heshima katika Sheria na Sayansi ya Siasa. Katika shahada hiyo, eneo kuu la utaalamu nililobobea lilikuwa Uhusiano wa Kimataifa.
Swali: Unautazamaje mfumo wa elimu wa nchi hiyo  ukilinganisha  na ule wa Tanzania?
Jibu: Tofauti ni kubwa sana. Elimu ya Canada imeendelea kwa kiwango kikubwa, hasa katika matumizi ya vifaa vya kisasa na vya hali ya juu katika kufundisha na kujifunza.
Nilichokiona hapa ni kuwa mfumo wa wenzetu katika ufundishaji unaweka msisitizo mkubwa katika mazoezi ya kivitendo, hivyo kuchangia wanafunzi kuwa  wabunifu na wenye uwezo wa kutatua matatizo.
Ilivyo ni kuwa wanafunzi hapa wanajengwa kuwa werevu wa fikra na watatuzi wa changamoto, badala ya kuwa watu wanaokariri tu maarifa wanayofundishwa.
Kwa ufupi naweza kusema elimu ya Canada hailengi tu kuwapa wanafunzi maarifa, bali inalenga pia kuwafanya wawe wabunifu, hasa katika kutoa mawazo mapya na kutatua changamoto zinazoweza kuhatarisha mafanikio ya nchi hasa upande wa uchumi.
Swali: Tanzania nayo unaitazamaje?
Jibu:   Kwa Tanzania hayo niliyosema ni kinyume, kwani wanafunzi wanafundishwa ili kukariri maarifa tena kwa minajili tu ya kufaulu mitihani ya Taifa.
Hali hii ndiyo inayochangia kukua kwa mawazo potofu kuwa wanafunzi wenye akili, au wenye nafasi ya kufanikiwa maishani  ni wale tu wenye uwezo wa kufanya vizuri zaidi kwenye mitihani.