FUKUZA YA HOUSE GIRLS, TUNAZUIA MUNGU KUTENDA ZAIDI NA ZAIDI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, August 21, 2013

FUKUZA YA HOUSE GIRLS, TUNAZUIA MUNGU KUTENDA ZAIDI NA ZAIDI

 Shuhuda za housegirls
Na Apostle Darmacy
 
Ziko shuhuda nyingi kuhusu House girls au kwa ujumla housemaids wote-(houseboys, car washers, garden keepers, baby carer, house guards, cattle keepers, shopkeepers etc. na kila mmoja wetu anaweza kua na experience nao tofauti, kati ya hizo, nyingine chungu sana. Mara nyingi wengi wetu tunasimulia negative tu kuhusu wasaidizi hawa wa nyumbani na kwakweli ni somehow fair kwa kuwa ndio hayo mabaya tuliyokumbana nayo au waliotufanyia Ni kusudi la shuhuda hizi zifuatazo, tugeuzwe mitazamo/nafsi zetu na namna tunavyowa-treat ili kabla ya kuwatimua (when it is only the critical alternative), tupate nafasi kidogo ya rehema, kujaribu kutumia hatua za kiroho badala ya zile za kimwili( ukali, kupiga fimbo, zaba vibao vya hatari, kukata au kufuta mshahara, e.g. kwa kuwa amevunja chupa ya chai, kufoka, tukana, hata wengine kutia ndani kituo cha police.

Shuhuda No. 1: 
©Jodie E/Travel Journal
Mdada anaishi Pugu, ameokoka, ana mume na watoto. Alipata housegirl toka Mkoa wa Iringa, msichana yatima, umri wake miaka 16, aliyelelewa na Bibi na Babu. Katika ukoo wa huyo housegirl, ni watu wa mizimu na uchawi kemkem na ni kawaida kurithisha ‘hazina’ yao hiyo kizazi kimoja kwenda kingine. Msichana huyu alifanyiwa urithishaji huo akiwa mdogo zaidi na hata kufikia hatua nzito za kichawi za ku-operate mambo makubwa ya kuzimu. Hatimaye alivikwa pete maalumu baada ya kufuzu mambo mazito ya 'devo' (shetani) na kuwa malkia wa wachawi kwa anga la upande ule wa eneo lao. 
Katika kutafuta msichana wa kazi, Mpendwa huyu wa Pugu akawa amempata binti huyo mwanga na yatima. Akawa anafanya kazi kama kawaida na anafundishwa vitu vipya vya ki-Dar kama vifaa vya upishi na mengine, akawa anaelewa na maisha yakaendelea vema. Kitu kimoja kikawa kinamshangaza mpendwa ni kwa nini mtoto kama huyo awe na pete mithili ya ile ya ndoa na kamwe hasingeivua ktk mazingira yoyote! Hata kila alipoulizwa na bosi wake, kwanini ana pete ya ndoa na umri wake mdogo, je ameolewa au kuposwa kimila? Alikaa kimya tu na hakuwahi kutoboa siri.
Siku zikaeendelea, kazi anafanya, tabia yake njema kabisa, adabu tele lakini kila mara mpendwa akiona ile pete na kulinganisha na umri wake, inamsumbua kweli. Akaamua kufunga na kuomba na kisha akahakikisha kila ibada za nyumbani jioni, house girl hafanyi kazi nyingine, shurti ashiriki ibada pia. Siku zikapita mpendwa akaamua kuacha ubosi na kutafuta/kujenga urafiki sana na taratibu kwa mapenzi akawa anamuuliza kuhusu ile pete. Kwa namna vile bosi wake alivyomchukua kama rafiki e.g. wanapiga story na kucheka, kufurahi, si Housegirl akafunguka! Akaweka yote hadharani! kumbe ile pete ilikua ni mhuri wakiapo cha kufa cha nguvu za ajabu katika ulimwengu wa roho wa giza na alama ya mamlaka ya utawala aliokua amevikwa kuwa juu ya wachawi kwakuwa pia alikuwa mshauri wao (resourceful person/technical expert if you like).
Ndipo mpendwa akamhubiria kirafiki kweli na kumhakikishia akikubali kuvua na kumkaribisha Yesu ndani, hatakufa kama alivyoambiwa katika viapo na kafara. Katika ibada moja, wakafanya maombi kisha kuanza kuivua, walipokua wanaitoa, ghafla instinctively, vidole vya binti vikajikunja kwa nguvu ya ajabu, walifanya mechanical efforts kuvifungua ikashindikana. Kisha wakaliitia jina la Mfalme juu ya Wafalme na kuamuru violently mashetani yaachie vidole vile, ghafla vikanyooka kisha wakaivua. Ilipotoka tu, akaanguka chini kisha madude kuanza kelele, wakakemea na binti akawa sawa. Walipoamka kesho yake, to their surprise, pete ilikua imerudikwa kidole ila ya aina nyingine kama cheni/kambakamba ivi. Wapendwa wakaweka gear kubwa zaidi ya maombi ndipo hatimaye wakaitoa ile pete-kamba. 
Walipolala binti anasema waganga wa kienyeji 8 wa Dar es Salaam ambao walikua wanapata ushauri kwakwe akiwa Iringa, walimjia usiku, yeye binti anawaona kabisa but wapendwa hawawaoni. Halafu ile pete ya pili ilipotoka, mpendwa akapata simu toka kwao binti kuwa kwa nini wamemvua pete ya ukoo! Mpendwa alishangaa kweli, wamejuaje?! Baada ya siku, ukatumwa ujumbe kuwa ukoo wanamtaka mtoto wao arudishwe nyumbani mara moja. Mpendwa akawa katika dilema, housegirl si mtoto wake wa kuzaa but ni mwanae kiroho kwa kuwa siku zilizofuata, aliamua kuokoka kabisa baada ya maombi mengi ya kumweka huru, na hapo hapo Ukoo unamdai mwana wao, je amwachie aende na uchanga ule kiroho au awakatalie wenye haki yao? 
Akafanya maamuzi magumu lakini ya imani, akamruhusu kwenda home baada ya kumwombea/kumzidika kiroho kisha kumuelekeza atajibu nini na kumsisitizia kusimama kwa dhati na Yesu ikibidi kufa ili aende mbinguni. Akafika home, kikao kikubwa cha ukoo, wakamweka kati, wakimtishia kumlaani, na kua atakufa/mizimu itamyonga na mambo mengi ila akivishwa tena pete ya urithi, yote hayata mtokea. Binti alisema statement hii mbele ya Wazee, Mashangazi na waganga wa ukoo…
"MIMI NIMEAMUA KUMPOKEA YESU NA KUOKOKA NA SITAVAA TENA PETE YOYOTE KUBEBA URITHI HUU WA KICHAWI WA UKOO MPAKA NITAKAPO VALISHWA PETE KANISANI NA MUME WANGU".
Baada ya kujibu ‘kijeuri’ hivyo, walimkamata kwa nguvu na kuanza kumvisha. Kelele na kilio kilisikika nyumba za jirani na kumbe mojawapo ya majirani ni mchungaji aliyeokoka. Akachukua baadhi ya watu na kwenda hapo. Kuuliza kulikoni, yule Housegirl, akapayuka walichokua wanataka kumfanyia..Ndipo Mchungaji akawasihi wasifanye ivyo, ni kufuru kwa Mungu. Mchungaji akawaambia angependa kuongea na Wana ukoo jambo la muhimu hivyo atawatembelea, kesho yake ilikuwa pasaka. 
Mchungaji hakufanya kosa na hatimaye, UKOO MZIMA SIKU ILE WALIAMUA KUOKOKA. Kupitia mpendwa aliyemchukulia housegirl kwa moyo wa kitumishi, wokovu ukaingia kwa binti huyo na hatimaye kupitia kamdada hako, ukoo wake wa wachawi, sasa ni wana wa Mungu na mashahidi wa imani ya kweli ya kuokoka ibadilishayo maisha ya mwanadamu wa aina yoyote.
Shuhuda No.2:
Mdogo wangu anaishi Mtwara na mkewe. Walipata mtoto na baada ya muda, akaanza kuugua malaria kila mara. Wakatumia njia zote kumtibu, namely vidonge, sindano na kisha drips, anapona lakini baada ya wiki, anaugua tena, ni malaria tu mwanzo mwisho. Ikawa ni mateso na huzuni kwa mkewe na huruma kweli kwa maana mtoto mdogo kudungwa sindano kila mara, ilikua ni sikitiko kweli katika nafsi za wazazi.
Ikatokea siku moja tafakari ikamjia mkewe kuwaza sana nini hasa chanzo cha mateso/malaria isiyoisha kwa kipenzi mwanae wakati wanapiga dawa na kutumia net? ghafla moyo wake ukamuelekeza kufikiri sana kuhusu housegirl aliyekua naye. House girl wake ingawa alikuwa ni mdogo lakini alikuwa mkorofi kweli, kiburi pia kikatili, kitafanya kazi vema kitakapojisikia, ukikirarua/fokea tu, kinavimba, mbinde haswa mpaka uli-reconcile diplomatically ili ku-win her cooperation katika kazi nyingi home pale. 
Siku moja shemeji akaamua kumhoji kirafiki ili kumfahamu kwa undani. Ndipo binti yule wa umri wa miaka 15 akawa wazi na akasema, Bibi yake huwa anamfuata na wachawi wenziwe kila usiku wanamchukua yeye na mtoto wa shemeji yangu kwenda kutambaa uko ulimwenguni katika roho na kumrudisha saa kumi na moja asubuhi. Shemeji hakujua kumbe alikua analala na ‘mtoto-ritufe’ na kuwa pale kitandani kwa binti wa kazi, alikua ni ‘ridude-housegirl’. Kikaongea mengi kuhusu waliyokuwa wanamtenda mtoto wake mpaka shemeji alipata pressure jioni hiyo hiyo kwakuwa hakuamini kuwa mtoto wake mpenzi kifungua mimba, alikua anatwaliwa/ kupaishwa kwenda katika mikutano, ibadani, mazindikoni na makazi ya wachawi na kuwa kitandani alikua analala na kunyonywa na ‘ritufe mtoto’!!. 
Walifanya maamuzi ya kutomtimua housegirl kurudi kwao kijijini but kumpeleka kanisani akaombewe. Wakati wa maombi, mtoto wa shem alikua anageuka-geuka/jinyonga-nyonga kama nyoka na pia housegirl kama mnyama akitoa sauti kama simba dume. Walifanya maombi ya deliverance kwa masaa ndipo wote wakapona kabisa na kufunguliwa moja kwa moja. Walipomuuliza binti kama angependa kumpokea Yeye aliyemfungua, akakubali kwa machozi, wakamuombea kuokoka. Tokea hapo, ukawa mwisho wa malaria isiyokwisha na ‘trips’ za usiku ulimwenguni uko. Tendo hilo lilimfanya shemeji na mdogo wangu kuamua kwa dhati sasa kuokoka maana walikua ni watu tu wakwenda kanisani, wanakubali kila kitu yet hawafanyi rocket decision to confess Jesus. Thus, kupitia house girl mwanga, wokovu ukaingia kwake, kakang’olewa toka nguvu za giza hatari na hatimaye pia shemeji na dogo leo ni indeed Biblical Pentecostal born again.
I wanna challenge you all in Jesus name, tuangalie/ku-revist namna tunavyoishi nao, je tunawa-treat vipi?- kama dogs, empty bottles of Kilimanjaro water or human beings? je tunawachukulia kama nao pia ni target ya moyo wa Yesu kufa msalabani in case hawajaokoka hivyo kukaa nao ki-mkakati injili? Je tuna rehema yoyote ya kujaribu kuona tabia walizo nazo, nyingine zitakua ni manifestations za mambo waliyofanyiwa at their tender age? Je kwa upendo wa calvary au kibinadamu/kiutu tu, unawatengenezeaje future housemaids wako kama wanakuja kwako labda hawajui kusoma na kundika Kiswahili-hawakwenda skuli kabisa,hawajasoma English kozi kidogo, wengine wameishia darasa la 7, kidato cha 4, 6? Je kweli roho na nafsi yako kama uliyeokoka vinakupa raha kuwatumia tu miaka 2, 3,6,10 wakiwa wamebaki tu hivyo? Hata mafunzo ya ususi wa nywele za kimasai, saloon, cherehani huna mpango? Unasimamaje kuomba/ku-preach/teach mbele za Bwana na watu with such devilish black spot ya kuwa ‘the master of home/domestic neo-colonialism’? Can you imagine? 2, 3, 4, 6, 10 years bila kumuendeleza lakini unamkamua jasho toka sa 11 asubuhi hadi saa 5 usiku kila siku na mshahara ule ule wa alfu 6, 10, 15, 20 kwa life ya leo hii!? yet confidently in the church/altar, una-'shandabaraise!!'… ni dhambi mbaya( dhuluma).
Press on revisiting our relationships, handling and perceptions kama mabosi towards our housemaids, notably house girls.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.