Mitutu ya Bunduki Yampokea Flora Mbasha Congo | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, August 21, 2013

Mitutu ya Bunduki Yampokea Flora Mbasha Congo

Flora Mbasha apokelewa nchini Congo kwa mitutu ya Bunduki 

Na Apostle Darmacy

katika hali isiyo ya kawaida kwa nchi zenye aman Duniani na Tanzania ikiwa miongoni mwao Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania na Kimataifa, Flora Mbasha na mumewe Emannuel Mbasha wamejikuta wakipokelewa na kupata escort ya wanajeshi ikiwa ni ni hatua ya kuwahakikishia usalama kipindi chote wawapo nchini Congo ambapo walikwenda kwa huduma.

kikawaida wanamuziki wengi wa Tanzania hususan wanapokuwa wametembelea sehem flani au nchi flani kwa huduma,aina ya mapokezi ambayo imezoeleka ni kwa mwanamuziki kupokelewa na mashabiki au wenyeji wake kumpokea kwa shangwe na kelele wakat mwingine mapokezi yaweza kuwa ni crew ya watumishi katika eneno hilo huku wakiwa wamevalia smart na baadhi ya zawadi mikononi kama ishara ya kumfanya mgeni ajisikie furaha katika kuingia eneo hilo

Kwa flora mbasha na mumewe ,Emanuel Mbasha hali ilikua tofauti baada ya kukuta wenyeji wake wakimpokea kwa mitutu ya Bunduki lakini kwa Amani kabisa ikiwa ni ishara ya kumhakikishia ulinzi wa kutosha akiwa nchini Congo kama inavyoonekana katika picha alizozipost Flora mbasha katika wall yake ya Face book 

Emannuel Mbasha Mume wa Flora Mbasha akiwa katika escort nzito toka kwa wanajeshi nchini Kongo

Flora mbasha ni moja ya wanamuziki wakubwa nchini Tanzania ambaye huduma yake ilianzia jijini Mwanza katika kanisa la Bugando EAGT aiwa kama mwanakwaya na baadae Mungu amemunua  na kufika ngazi ya juu kabisa hadi kupata mialiko ya kimataifa ikiwa ni katika nchi kama Marekani,na nchi nchi nyingi za Afrika mashariki na kati 
Flora Mbasha na mumewe, Emannuel Mbasha wakiwa na Rais Jakaya Kikwete Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
moja ya perfomance ambazo flora mbasha na crew yake walizifanya wakiwa Marekani

moja ya video ambayo flora Mbasha aliifanya alipokuwa Marekani ni hii  hapa

wimbo unaitwa I give my life to you by Zack Ponio  akimshirikisha Flora Mbasha na NYC man ikiwa ni dedication kwa watoto wa Mungu duniani kote
     
Waziri mkuu wa Kenya Laira Odinga na Mhe Magufuli waliposhindwa kujizuia na kupanda jukwaani kucheza wakati Flora Mbasha akiimba

Emanuel Mbasha katika moja ya huduma ambazo wamekuwa wakifanya katika kumtukuza Mungu