Kuhusu D.Kulola | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, August 15, 2013

Kuhusu D.Kulola

KWA TAARIFA YAKO : MTOTO WA ASKOFU KULOLA ALIVYOPITIA MAGUMU KURITHI MIKOBA YA BABA YAKE 

Na Apostle Darmacy



Kati ya watoto wa Askofu Mkuu Moses Kulola, hakuna aliyekuja kudhani kuwa Daniel Kulola, ndiye atakuwa mrithi wa kazi ya baba yao. Hata yeye mwenyewe hakuwa anadhani hiyvo, lakini kwa taarifa yako hadi anafikia hapo alipo, kuna mengi amepitia, magumu zaidi ya unavyoweza kudhani, na machache kati yake ni kama ifuatavyo.
KWA TAARIFA YAKO Mchungaji Dkt Daniel Kulola hakuwa anataka kuwa mchungaji katu, ni jambo ambalo hakulidhania - na alikuwa akichukia mno kuwa katika huduma hiyo, lakini ilikuwa ni mwaka 1990 mwanzoni, ambapo baba yake, yaani Askofu Moses Kulola, aliitisha kikao cha familia nzima, na hapo ndipo mambo yalipobadilika.
Katika kikao hicho ambacho hakuna aliyejua kitakachojadiliwa, kilikuwa kizito sana kwani baba yao alilia sana siku hiyo, akisema kuwa Mungu amemuambia kuwa mtoto mmojawapo ndiye atakayemrithi, lakini bado hakujua ni nani kati ya watoto wake wote. Ndipo KWA TAARIFA YAKO, mtu mmoja akawa amechomwa sana na hayo maneno na kusimama mwenyewe na kueleka alipo baba yake na kupiga magoti kwa ajili ya kuombewa, huo ndio ukawa mwanzo wa huduma ndani yake, maombi yalikuwa marefu kiasi kwamba kwa takribani wiki mbili, mkono aliowekewa Daniel ni kama bado ulikuwa upo kichwani mwake, kwa namna ambavyo maombi yalikuwa na uzito wa kipekee.


Kuitwa kwa Daniel hakukuwa shughuli nyepesi, kwani wachache walimuelewa huku wengi wakimshangaa na KWA TAARIFA YAKO ni kutokana na alipokata shauri ya kuacha kazi na kugawa baadhi ya mali zake, huku nyingine akiuza, kwa kile alichoamini kuwa vingempotezea muda katika huduma ambayo ameitiwa.
kwa takribani miaka 8 Mchungaji Dkt Daniel Kulola alikuwa akijenga msingi kwenye huduma, na kipindi hiki ndicho kilikuwa kipindi kigumu mno, kwani kuna kipindi walikuwa wakilala njaa, ama pale ambapo walishangilia kupata chakula (dona na maharage), mgeni wao akakataa kula na kuondoka. Si hayo tu, lakini pia kuuza suti zake ili aweze kupata nauli ya kuendea kuhubiri, licha ya kwamba sehemu nyingine aliwahi kuacha suti zake ili ziuzwe, lakini aliporudi baada ya siku kadhaa akakuta nguo hizo (mtaji) zimetelekezwa chini huku jua na mvua zikiiangukia bila mtu yeyote kushtuka.
KWA TAARIFA YAKO, haya yote hayakumkwamisha wala kumzuia kuendelea kuhubiri kutokana na kukumbuka maneno ya baba yake mzazi, ambaye pia ni baba yake wa kiroho ya kwamba "hujaitwa na mtu, umeitwa mwenyewe."
Waswahili husema nyani mkongwe kakwepa mishale mingi, na hakika ndivyo ambavyo tunaweza kulinaganisha kwa mtumishi huyu wa Mungu kwani hadi kufikia 2013, ni mambo mengi amepitia, ikiwemo ya kuvamiwa na mapepo wakitaka kumuua akiwa madhabahuni jijini Arusha, wakati mmoja dada mmoja aliyekuwa na pepo akamrukia mgongoni na kumng'ang'ania, huku wakati mwingine dada mwingine aliyekuwa na mapepo akirudi kulipa kisasi baada ya kuombewa mchana, yeye akirudi usiku na kisu mkononi ili kumuua mchungaji Daniel. Lakini yote haya yanapita, maana hakujiita mwenyewe, bali aliitwa kufanya kazi hii ya Mungu.




Pamoja na huduma anayofanya, Mchungaji Daniel ni msomi, na ni daktari wa thiolojia, jambo ambalo KWA TAARIFA YAKO analihubiri sana kwa watoto wake, kwani kati ya watoto wote alionao (wa kibaiolojia na wa kuasili), wote wanajua kuwa ugomvi na baba yao ni pale ambapo hawasomi
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.