TAMBUA
FURSA ZA KAZI
Na apostle darmacy
MIRADI NA BIASHARA MBALIMBALI
·
Kununua Mashine
za kukoroga zege na kukodisha.
·
Kununua Mashine
za kukata vyuma na kuzikodisha.
·
Kutengeneza na
kuuza tofali
·
Ufundi, Website updating/Database: Katika
Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
·
Kuanzisha kituo
cha redio na televisheni
·
Kufunga na
kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na
vifaa vya compyuta na mawasiliano.
·
Kuuza software; mfano Antivirus,
Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
·
Kushona na kuuza nguo.
·
Kufungua Duka la kuuza nguo mpya;
suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
·
Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano
Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
·
Kufungua stationery, kuuza (supply)
vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
·
Kutoa ushauri
mbalimbali wa Kitaalamu.
·
Kuuza viazi,
mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
·
Kusajili namba
za simu na kuuza vocha
·
Kuwa na mradi
wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
·
Kilimo cha
mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
·
Kuuza Mitumba
·
Kusimamia
miradi mbalimbali
·
Kufungua duka
la kuuza mitambo mbalimbali
·
Kufungua banda
la chakula na chips
·
Kukodisha turubai
viti na meza
·
Kufungua Supermarket
·
Kufungua Saloon
·
Kufungua Butcher
·
Video Shooting & Editing.
·
Kufungua
Internet cafe
·
Duka la kuuza
matunda
·
Kufungua duka
la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
·
Kufungua duka
la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati
·
Kutengeneza
michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT
·
Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
·
Kuanzisha kampuni ya ujenzi
(Building contractor)
·
Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya
jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
·
Kuuza maji kwa jumla
·
Kutengeneza na
kuuza Unga wa lishe bora.
·
Kukodisha Music
·
Kuanzisha Mradi wa Taxi
·
Kuanzisha mradi wa Daladala
·
Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops,
converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
·
Kununua magenerator na kukodisha
·
Kufungua kampuni ya kutoa huduma za
simu
·
Kufungua kampuni ya kutoa huduma za
internet (ISP)
·
Kuuza mabati na
vigae
·
Kujenga
apartments
·
Kufungua Kisima
cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
·
Kufungua Duka
la samaki
·
Kufungua Duka
la nafaka
·
Kufungua Shule
·
Kujenga hostel
·
Kuuza ving’amuzi vya DStv, zuku,
Startimes/Easy TV/TNG/Vocha/ Basic Television
·
Kujenga mtambo
wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
·
Ufundi simu
·
Kufungua
Hospitali.
·
Maabara ya
Macho, Meno
·
Kuchimba/Kuuza Madini
·
Kufungua ofisi
ya kutoa huduma ya simu na fax
·
Kuuza miti na
mbao
·
Kufungua
Grocery, bar
·
Kufungua studio
ya kupiga na kusafisha picha
·
Kucharge
simu/battery
·
Duka la TV na
vifaa vingine
·
Kuanzisha
biashara ya catering
·
Banda la
kupigisha simu
·
Kuuza na
kushona Uniform za shule
·
Kuanzisha duka
la kuuza vitu kwa jumla.
·
Kufungua gereji
za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
·
Kuuza vyuma,
pembejeo, rake, jembe
·
Kuuza fanicha
·
Kufungua sehemu
ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
·
Kujenga hotel
·
Kuagiza na
kuuza vifaa vya aluminium.
·
Kuuza vioo
·
Kushona na
kukodisha nguo za harusi
·
Kufungua yard
kwa ajili ya kuosha magari
·
Kuuza mashine za kuchomelea (welding
machine).
·
Kuuza vifaa
vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
·
Kununua
mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
·
Kufungua studio
ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
·
Kuanzisha ofisi
ya michezo ya televisheni (TV Games)
·
Kufungua benki
·
Kuwa na malori
ya kubeba kokoto na mchanga
·
Kuuza vifaa
mfano TV, CCTV Camera, n.k
·
Kuwa dalali wa
vitu mbalimbali
·
Kuanzisha mradi
wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
·
Kuanzisha
kiwanda cha kutengeneza viatu.
·
Kuanzisha
viwanda mbalimbali
·
Duka la vifaa
vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL,
AIRTEL, TIGO, n.k.
·
Kujenga Ukumbi
wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
·
Kununua
matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
·
Kutengeneza
antenna na kuuza
·
Kufungua mradi
wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao
·
Kufungua mradi
wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
·
Biashara ya
kuagiza magari
·
Kufanya
biashara za Jukebox
·
Kukodisha
matenki ya maji
·
Kufungua duka
la kuuza Asali
·
Kutengeneza
Mikokoteni na kuikodisha
·
Kufungua Duka
la vinyago, batiki
·
Kuanzisha
huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA
·
Kuanzisha
sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
·
Kununua na
kuuza vifaa vya kupima ardhi.
·
Kufungua duka
la kuuza dawa (pharmacy).
·
Kufungua
Kampuni ya Ulinzi
·
Kuchezesha
vikaragosi
·
Kuuza spea za
bajaji, magari na pikipiki
·
Kuuza baiskeli
·
Kuuza magodoro
·
Kuuza vyombo
mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe,
vijiko,
·
Kuuza marumaru
·
Kuuza kokoto
·
Kuuza mchanga
Bless u
Toa Maoni Hapa Chini