| Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, August 6, 2013



TAMBUA FURSA ZA KAZI
Na apostle darmacy
 
 MIRADI NA BIASHARA MBALIMBALI
·               Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
·               Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
·               Kutengeneza na kuuza tofali
·             Ufundi, Website updating/Database: Katika Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
·               Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
·               Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
·               Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
·               Kushona na kuuza nguo.
·               Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
·               Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
·               Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
·               Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
·               Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
·               Kusajili namba za simu na kuuza vocha
·               Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
·               Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
·               Kuuza Mitumba
·               Kusimamia miradi mbalimbali
·               Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
·               Kufungua banda la chakula na chips
·               Kukodisha turubai viti na meza
·               Kufungua Supermarket
·               Kufungua Saloon
·               Kufungua Butcher
·               Video Shooting & Editing.
·               Kufungua Internet cafe
·               Duka la kuuza matunda
·               Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
·               Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati
·               Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT
·               Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
·               Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor)
·               Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
·               Kuuza maji kwa jumla
·               Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
·               Kukodisha Music
·               Kuanzisha Mradi wa Taxi
·               Kuanzisha mradi wa Daladala
·               Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
·               Kununua magenerator na kukodisha
·               Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
·               Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP)
·               Kuuza mabati na vigae
·               Kujenga apartments
·               Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
·               Kufungua Duka la samaki
·               Kufungua Duka la nafaka
·               Kufungua Shule
·               Kujenga hostel
·               Kuuza ving’amuzi vya DStv, zuku, Startimes/Easy TV/TNG/Vocha/ Basic Television
·               Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
·               Ufundi simu
·               Kufungua Hospitali.
·               Maabara ya Macho, Meno
·               Kuchimba/Kuuza Madini
·               Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
·               Kuuza miti na mbao
·               Kufungua Grocery, bar
·               Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
·               Kucharge simu/battery
·               Duka la TV na vifaa vingine
·               Kuanzisha biashara ya catering
·               Banda la kupigisha simu
·               Kuuza na kushona Uniform za shule
·               Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
·               Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
·               Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
·               Kuuza fanicha
·               Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
·               Kujenga hotel
·               Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
·               Kuuza vioo
·               Kushona na kukodisha nguo za harusi
·               Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
·               Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
·               Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
·               Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
·               Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
·               Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
·               Kufungua benki
·               Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
·               Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
·               Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
·               Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
·               Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
·               Kuanzisha viwanda mbalimbali
·               Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, n.k.
·               Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
·               Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
·               Kutengeneza antenna na kuuza
·               Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao
·               Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
·               Biashara ya kuagiza magari
·               Kufanya biashara za Jukebox
·               Kukodisha matenki ya maji
·               Kufungua duka la kuuza Asali
·               Kutengeneza Mikokoteni na kuikodisha
·               Kufungua Duka la vinyago, batiki
·               Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA
·               Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
·               Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
·               Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
·               Kufungua Kampuni ya Ulinzi
·               Kuchezesha vikaragosi
·               Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
·               Kuuza baiskeli
·               Kuuza magodoro
·               Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,
·               Kuuza marumaru
·               Kuuza kokoto

·               Kuuza mchanga





Bless u
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.