WAJIBU WA WAZAZI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, August 17, 2013

WAJIBU WA WAZAZI

WAJIBU WA WAZAZI NA WALEZI KWA WATOTO WAO

Kumb la torati 6:6-7[Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo}

Kila kunapokucha tunashuhudia mpasuko mkubwa wa maadili kwa watoto na vijana wetu, pamoja na baadhi ya watoto kuwa na akili za kuzaliwa, watoto wengi wameharibikiwa na akili. Wengi ukiwaona wana uwezo mzuri, ila akili zao zimeharibiwa na malezi. Kumbuka Mungu anasema “Kumcha Bwana ni chanzo cha Maarifa…” Mithali 1:7. Wazazi wengi tunawalaumu watoto kwa kutokuwa waadilifu, ni jambo la kawaida kusikia “Heri nisingezaa kuliko kuwa na watoto kama hawa”. Mambo yafuatayo yanachangia kuharibu akili ya watoto:

1.      Wazazi hawana Muda wa kuwafundisha watoto neno la Mungu ambalo ndilo chanzo cha Maarifa yote ya uadilifu na kuwa na Hekima katika jamii, kuna wasomi wengi lakini sio wa kutegemewa katika jamii “They are hopeless”. Wazazi wengi wanakazania elimu ya kawaida, hiyo ni sawa, lakini elimu bila Mungu ni hatari, na ndicho tunachokiona siku hizi.

2.      Ugonvi  wa Wazazi na Maisha yasiyo na Amani na Upendo kati ya wazazi – Watoto wanaathirika kisaikolojia wanapoona Baba na Mama wanagombana, hasa wanapoona mmoja anaonewa, na mwingine kuonekana katili.  Watoto wako “very sensitive” na jambo hilo, na wakati wote wanakuwa ni “Upset Minded”, hali hii inaathiri uwezo wao wa akili. Wazazi acheni magonvi mbele ya watoto ni hatari.

3.      Malezi ya Mtoto yanaanzia Tumboni, hakikisheni mama akiwa mja mzito, ale vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya kujenga Afya na Akili ya Mtoto.  Hasira na Moyo wa huzuni kila mara huathiri mtoto tumboni. Vileo havitakiwi kabisa, vina athari kubwa kwa mtoto.

4.      Kumbuka chochote unachonena na kutenda mbele ya mtoto ndiyo elimu unayomfundisha. Kuna watu midomo haina Breki, wanaporomosha matusi hadi ya nguoni, ni wakali, na kila saa midomo iko juu, na tabia ya kuwadanganya watoto kuwa huyu ni Uncle, na usiku anahamia chumba cha baba na Mama, huo ni Uasherati na uzinifu, watoto lazima wataiga tabia hizo, na wakiwa vija wakubwa unaanza kuwalaumu.

5.      Chumba cha kulala kiwe na faragha, wazazi wengi wanalala na watoto, na vitoto vya siku hizi vinakomaa kabla ya wakati, utafikiri kamelala kumbe kanajisikilizia, huku kamefumba macho kabla hakajaiba kuchungulia. Hivi unafikiri michezo ya watoto ya Baba na mama unafikiri wanaitoa wapi?  wanaigiza hata mama anavyolia, kilio cha furaha. Kwa ujumla hayo ndiyo yanajaza akili zao hadi wanaenda kuchora kwenye karatasi za mitihani.Wazazi wasilale na watoto chumba kimoja, pia chumba kiwe na milango inayofaa na dari lisiwe wazi, liwe na “sealing board”. Siku hizi nyumba za kupanga zimekuwa changamoto kubwa kuharibu tabia za watoto na vijana. Vyumba havina siri, Vijana na watoto hawapati usingizi usiku kwa sababu ya starehe kutoka vyumba visivyo na faragha. Wazazi watawajibika kwa kuharibu akili za Vijana na watoto wasipozingatia ushauri huu.

NI VIZURI KWENDA NA WATOTO WAKO KANISANI NA SIO KUWAACHA NYUMBANI HAPA NI KANISA LA PAG CHUKWANI ZANZIBAR BAADA YA IBADA
MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

JE MTOTO WAKO UMEMFUNDISHA NINI?

MUNGU NI MUNGU WA WATOTO PIA NA ANASIKIA NA KUJIBU MAOMBI YA WATOTO HIVYO MFUNDISHE MTOTO WAKO KUOMBA

JITAHIDI SANA MZAZI KUWA MFANO KWA MTOTO KWANI UKIMFUNDISHA MABAYA ATAKUA ANATENDA HAYO HAYO NA UKIMFUNDISHA MEMA ATAYASHIKA NA YATAKUWA MSAADA MAISHANI MWAKE

WMLEE MTOTO KATIKA NJIA KATIKA NJIA IMPASAYONAYE HATAIACHA HATA AKIA MZEE{MITHALI 22:6}

USIACHE KUPELEKA MTOTO WAKO KWENYE MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU KANISANI

MFUNDISHE MTOTO WAKO KUSOMA NENO

MTOTO KAMA ALIVYO MTU MWINGINE YEYOTE ANA HAKI YA KUISHI KWA FURAHA
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.