Kuboresha maombi yako ili yawe na matokeo mazuri zaidi | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, October 28, 2013

Kuboresha maombi yako ili yawe na matokeo mazuri zaidi

UNATAKIWA KUFANYA NINI AMBAPO UNASIKIA MSUKUMO WA KUOMBA
Kumbuka lengo la ujumbe huu ni kukusaidia ili maombi yako yawe ni maombi yenye matokeo mazuri. Maana kama ni kuomba huenda umeomba sana lakini huoni matokeo ya maombi yako. Na suala si kuomba tu, unaweza ukaomba kwa muda mrefu na kufunga lakini kama hatuoni matokeo ya maombi yako haitusadii kwa lolote na haikusaidii pia kwa lolote. Mambo yafuatayo yatakusaidia kuboresha maombi yako ili yawe na matokeo mazuri zaidi, fuatana nami katika sehemu hii; Namna ya kuomba kwa kuzingatia mfumo wa kuombea unachokiombea; 1 Yohana 5:14 “… Kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake”. Je Kuomba huku kukoje au ni kwa namna gani? Kuomba kwa uongozi wake (Roho Mtakatifu),i.e kwa kuzingatia maagizo yake. Waefeso 6:18 “Pray in the Spirit”. Kuomba kwa kuzingatia upako wa Mungu ulioko juu yako. Kuomba kwa imani katika Jina la Yesu (Yohana 14:13, 16:23, Matendo 3:16). Kuomba wakati moyo wako haukuhukumu (1Yohana 3:21-22). Kuomba kwa kujenga hoja zenye nguvu. Kuomba kwa juhudi na bila kukata tamaa, (Luka 18:1). Kuomba kwa kuzingatia muda unaotumia kuliombea jambo husika. Na linapokuja suala la muda kuna tafsiri mbili. Moja unaomba kwa muda gani i.e kwa dakika au masaa mangapi?, mbili unaomba wakati gani yaani saa ile unaposikia msukumo wa kuomba au kwa wakati unaotaka wewe?, (Luka 18:1-8, Matendo ya Mitume 12:1).
Hata hivyo suala sio kuomba tu, bali katika maombi yako zingatia yafuatayo; Kwa nini uombe, unaombaje, na unaombea wapi? Unaomba kwa muda gani? Katika na kutoka nafasi ipi? yaani kama nani? Ukiwa na ufahamu kiasi gani juu ya suala unaloliombea? Ukiwa na ufahamu kiasi gani juu ya maandiko yanayohusu suala unaliliombea? Ukilenga nini katika kuomba kwako? Unaomba ukiwa katika hali gani kiroho? Je unaomba huku ndani yako unaona nini? (Marko 8:22-26). Omba kwa sala zote i.e kukiri, kuungama,kufunga,kusifu nk. (Waefeso 6:18). Bwana Mungu akubariki, Weka kwenye matendo na jifunze kujiuliza maswali hayo kabla hujaomba naamini utaona mabadiliko kwenye maombi yako. by Apostle Darmacy