Mkutano wa Injili Tukuyu Mbeya........ | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, October 27, 2013

Mkutano wa Injili Tukuyu Mbeya........

Ni katika kanisa la T.A.G Ndembela Kwa Mchungaji Kinene. Ambapo Mchungaji Thobias Tambikeni wa Kanisa la T.A.G forest alihudumu katika mkutano huo pamoja na hayo pia aliongoza ibaada ya kusifu na kuabudu ambapo roho mtakatifu alijidhirisha kwa watu. Katika ibaada ya asubuhi Mchungaji Thobias alifundisha somo lenye kichwa kinachosema "USHINDI ULIO MBELE YAKO KILA ATAKAYE ONA AU KUSIKIA ATAMTUKUZA MUNGU WA MBINGU NA NCHI" Ambapo maandiko ya somo yalitoka katika kitabu cha UFUNUO 3:7-13 Ambapo biblia inasema "Na kwa malaika wa kanisa lililoko Filadefia andika;Haya ndio anenayo yeye aliye mtakatifu wa kweli,aliye na ufunguo wa Daudi,Yeye mwenye kufungua ufunguo wala hapana afungaye.Nayajua matendo yako.Tazama nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako ambao hapana awezaye kuufunga,kwa kuwa unazo nguvu kidogo,nawe umelitunza neneo langu wala hukulikana jina langu.Tazama nakupa walio wasinagogi la shetani wasemao kwamba ni wayahudi nao sio, bali wasema uongo.Tazama nitawatanya waje kukusujudu mbele ya miguu yako na kujua ya kuwa nimekupenda .kwa kuwa umelishika neneo la subira yangu ,mimi nami nitakulinda ,utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote.kuwajaribu wakaao juu ya nchi . Naja upesi shika sana ulicho nacho asije mtu akakitwaa taji yako .Yeye ashindaye nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu ,wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu na jina la mji wa Yerusalemu mpya,ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu na jina langu mwenyewe lile jipya. Yeye aliye na sikio na alisililize neno hilo ambalo roho ayaambia makanisa. imageanchor="1" > KWA MSAADA WA MAOMBI USHAURI WA KIROHO WASILINA NA MCHUNGAJI THOBIAS TAMBIKENI 0756-929510