Baba mzazi wa Bahati Bukuku Afariki | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, November 8, 2013

Baba mzazi wa Bahati Bukuku Afariki

Msiba wa Baba mzazi wa Mwimbaji gospel nchini Bahati Bukuku

Hizi ni baadhi ya picha za msiba wa baba mzazi wa mwimbaji gospel nchini Bahati Bukuku aitwaye mzee Lwaga Bukuku ambaye alifariki dunia hivi majuzi jijini Dar es salaam. ambapo msiba ulikuwa nyumbani kwa mwimbaji huyo maeneo ya Tabata, watu mbalimbali wakiwemo waimbaji wenzake Bahati kama David Robert, Jennifer Mgendi, Christina Shusho,Jane Misso, Christina Matai, Neema Gasper na wengine walifika nyumbani hapo kumpa pole,  mwili umesafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi.

Nyumbani kwa Bahati

Christina Matai.

Watu wakiwa msibani.

Jane Misso akimsifu Mungu.

Watu wakitoa heshima za mwisho.

Msiba nyumbani kwa Bahati.
Bahati akiwa na wafiwa wengine.
Wafiwa wakipata chakula kabla ya ibada ya mazishi kuanza.
Baadhi ya waimbaji wakiongozwa na Christina Shusho wakiwa msibani hapo.
Neema Gasper akimsifu Mungu huku akipewa nguvu na mwana GK Silas Mbise.
Silas Mbise akilonga huku Joshua Makondeko akifurahia maneno ya busara kutoka kwa kijana.
Chakula kilihudumiwa na kampuni ya Bahati inayojihusisha na mambo ya vyakula.
Bahati akizungumza jambo.
Solomon Mukubwa akiimba msibani hapo.
Beatrice Mwaipaja akiimba.
Jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Lwaga Bukuku.
Mchungaji akiongoza ibada ya mazishi.
Bahati Bukuku akiwa na wafiwa wengine wakati wa ibada ya kuuaga mwili.

Hata hivyo alamanusura mambo yaende kombo, ambapo utata ulijitokeza wapi mwili uzikwe, kati ya Mbeya ama jijini Dar eneo la Sinza, ambapo kaburi lilichakuwa limeandaliwa, tofauti na mipango mingine ilivyokuwa.

Tukio hilo ambalo limeshuhudiwa , lilianza kufukuta pale ambapo ilitangazwa kuwa marehemu Lwaga Bukuku angezikwa Mbeya, jambo ambalo lilizua taharuki kwa baadhi ya wafiwa ikiwemo watoto, ambapo baadhi waligoma kuaga mwili – huku kaburi lililokuwa limeandaliwa maeneo ya Sinza, likibaki tupu bila kujua nini kinafuata.

 BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
Picha Ni kwa hisani ya http://gospelkitaa.blogspot.com 