Glorious Worship Team | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, November 5, 2013

Glorious Worship Team

Glorious Worship Team (GWT) linatarajia kuachia DVD 

Hatimaye kundi la Glorious Worship Team (GWT) linatarajia kuachia DVD yao mpya siku ya jumapili hii katika kanisa la CCC Upanga jijini Dar es salaam. DVD hiyo ambayo ilirekodiwa live mwishoni mwa mwaka juzi katika kanisa hilo, tayari audio yake ilishatoka ikifahamika kwa jina la "Umenifanya Ibada" ambayo imekuwa ikipendwa na wengi kutokana na nyimbo zilizomo, sauti pamoja na mpangilio wa muziki kiujumla.
Uzinduzi huo unaotarajia kusindikizwa na waimbaji kama Miriam Lukindo, The next level team, Upendo Nkone, Florence Mureith kutoka Kenya, Rivers of Joy, Zion band pamoja na kundi la Acapela The Voice, kiingilio katika uzinduzi huo ni shilingi 10,000. Kundi la GWT ambalo limesheheni vijana wenye vipaji mbalimbali katika tasnia ya kumtukuza Mungu hadi kufikia bendi zinazopiga miziki ya kidunia kuwashawishi baadhi ya waimbaji na wapigaji wa kundi hilo kujiunga nao wamekuwa wakigonga mwamba kutokana na msimamo thabiti wa vijana hao katika kumtumikia Mungu.
Kwasasa kundi hilo limekamilika kila idara, uimbaji, upigaji, maombi pamoja na uongozi wake madhubuti kutoka kwa kijana Emanuel Mabisa ambaye alianza kuliongoza jahazi la kundi hilo tangu hawajatoka katika kundi la Glorious Celebration ambako ndiko walitoa album ya kwanza iitwayo Niguse.
 
Wapigaji wa GWT wakijifua tayari kwa kumtukuza Mungu jumapili.

Baadhi ya waimbaji wadada wa GWT wakiwa mazoezini.
Baadhi ya waimbaji wa GWT mazoezini wakijiandaa kwa tukio la jumapili. 