Uongozi wa Chuo Kikuu
Teofilo Kisanji Uliandaa ziara ya
maafisa wa waendelelo jamii kuzuru moja ya kituo cha kulelea watoto yatima
kichopo IWAMBI- Mbeya Kijulikanacho Kwa jina la
“ Mkate Wa Watoto
Yatima” Kilicho chini ya Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi Ya Konde.
Lengo na madhumuni ya
ziara hiyo ni kujifunza kwa vitendo kazi za maafisa maendeleo ya jamii na usatawi wa
jamii.
Ambapo Tulipokelewa na Mama Mlezi wa kituo hicho ajulikanaye
kwa jina la Sister Sabina Siwale ambaye alitoa historia fupi ya Kituo kwa
kusema “ Mnamo 1995 Kituo kilianzishwa chini ya Mchungaji Mwakasege ambapo
ofisi zilikuwa Forest na walianza na
Kituo cha kutunza watu walioadhilika
madawa ya Kulevya (Rehabitation Centre).
Pia alisema jinsi ya kuwapata watoto yatima ni kwa njia ya kuwafuata mashuleni na
kupata taarifa kutaka kwa walimu kuhusu watoto yatima waliopo hapo shuleni.
Kituo cha “ Mkate Wa
Watoto Yatima” Kimefanikiwa kuwapatia
elimu na baadhi yao wamehitimu vyuo vikuu na wengine kupata ajira mfano
walimu,madereva,mafundi ujenzi na ushonaji.
Pamoja na hayo pia
tumefanikiwa kuwapatia cherehani
wahitimu wote wa fani ushonaji.
Pia alisema jinsi ya kuwapata watoto yatima ni kwa njia ya kuwafuata mashuleni na
kupata taarifa kutaka kwa walimu kuhusu watoto yatima waliopo hapo shuleni.
Kituo cha “ Mkate Wa
Watoto Yatima” Kimefanikiwa kuwapatia
elimu na baadhi yao wamehitimu vyuo vikuu na wengine kupata ajira mfano
walimu,madereva,mafundi ujenzi na ushonaji.
Pamoja na hayo pia
tumefanikiwa kuwapatia cherehani
wahitimu wote wa fani ushonaji.
Licha ya hayo Mkuu wa kituo aliwakaribisha maafisa wa waendelelo jamii Kutoka TEKU kuwa marafiki wa ndani licha ya kuwa na marafiki wa
nje. Pia alizungumzia namna ya Kuinua Vipawa vya vijana kulingana mabadiliko ya ulimwengu.
Kwa hisani ya http://apostledarmacy.blogspot.com/ tumeandaa baadhi ya matukio jinsi ilivyo kuwa;
 |
Mr. Mwakigali mkuu wa kituo
|

|
Sister Sabina Siwale
|
 |
Baadhi ya watoto wanao ishi katika kituo
|
 |
Darmacy akiwa na mwangalizi wa kituo
|
 |
Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka TEKU
|
 |
Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka TEKU
|
 |
Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka TEKU
|
 |
Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka TEKU
|
|
 |
Afisa Maendeleo ya Jamii Mr. Steve akitoa Hoja
|
 |
Mkuu wa Msafara Kutoka TEKU
|
 |
| Mr. Mdollow Akitoa ushauri |
 |
| Picha Ya Pamoja |
 |
Picha ya pamoja
|
 |
Mwandishi wa http://apostledarmacy.blogspot.com
|
Toa Maoni Hapa Chini