KWA NINI TUNA MUHUBIRI MUNGU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, January 17, 2014

KWA NINI TUNA MUHUBIRI MUNGU

NI MOJA YA MIKUTANO YA NENO LA MUNGU JIJINI- MBEYA 2013



Mkutano wa Injili wa neno la Mungu katika kanisa la T.A.G  Forest karibu na mahakama kuu ya jijini Mbeya Ulianda mkutano mkubwa wa neno la Mungu  ni katika viwanja vya kanisa mwaka 2013 ambapo mkutano ulihudumiwa na Mchungaji Chistopher kutoka Morogoro



Mchungaji Chistopher,Mchungaji msaidizi Thobias Tambikeni na Mzee  wa kanisa  Dr.Nehman


Somo la siku ya leo lilitoka katika kitabu cha Matendo ya Mitume 4;1 ambapo biblia inasema " hata walipokuwa wakisema na watu wale,Mahuhani na Akida wa hekalu na masudukayo wakawatokea wakifadhaikka sana kwa sababu wanafundisha watu kuhubiri katika Yesu ufufuo wa wafu.
Wakawakamata ,wakawaweka gerezani hata asubuhi kwa kuwa ilikuwa jioni. Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini,na hesabu ya watu waume ikawa kama elfu tano.
walipo waweka katikati wakawauliza kwa nguvu gani na kwa jina gani ninyi mmefanya haya ?
Ndipo petro ,akijaa Roho Mtakatifu, akawambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli, Kama tukiulizwa leo habari ya jambo jema alilofanyiwa yule mtu dhaifu ,jinsi alivyoponywa, jueni ninyi nyote na watu wote wa Israeli ya kuwa Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, na Mungu akamfufua katika wafu
Kwa jina hilo mtu huyu anasimama ali mzima mbele yenu . Yeye ndiye jiwe lile liliodharauliwa na nyinyi  waashi nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni . 
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote ,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupaslo sisi kuokolewa kwao.
 
 
Mchungaji Chirstopher alisimama na kuanza kuhubiri kwa kusema leo jion yenye matarajio makubwa maana Mungu wetu humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumketisha juu na wakuu na wafalme wa nchi.
Bwana Yesu alikuja duniani ili kuukomboa ulimwengu kutoka kwenye dhambi. 
JE? ni nini kinacho kutesa sasa  shida muda mrefu ,magojwa yasiyo pona ,fedha hali ngumu ya uchumi,ndoa ina migogoro  Nasema leo  leo Yesu mtenda miujiza yuko hapa kukuhudumia.
Petro alijibu vema kwa kusema  "Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli, Kama tukiulizwa leo habari ya jambo jema alilofanyiwa yule mtu dhaifu ,jinsi alivyoponywa, jueni ninyi nyote na watu wote wa Israeli ya kuwa Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, na Mungu akamfufua katika wafu"
Yeye ndiye jiwe lile liliodharauliwa na nyinyi  waashi nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni . 
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote ,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupaslo sisi kuokolewa kwao.
 Aidha Mchungaji Chirstopher alisema yeye akushawishi wewe kuokoka bali wewe binafsi ndio unatakiwa kushawashika na kumpokea Kristo kuwa Bwana na mWokozi wa maisha yako maana  watu maelfu wanamkimbilia  yeye ambaye ni Tabibu wa kweli.
 
Pia alisema sasa si wakati wa kushabikia dini, Bali ni kutangaza kazi ya msalaba wa Bwana Yesu Duniani kote maana ni agizo kutoka kwa Bwana.
Kitendo cha kina Petro kwenda gerezani watu waume elfu tano waliweza kuokoka. Pia alisisitiza kwa kusema hata kwa kupigwa kudhralailiwa na kukejeliwa mimi nitatangaza injili ya Bwana Yesu aliye hai.
Katika  gerereza Kina Petro walifanya maombi, walifanya mlima wa maombi wakati wapo gerezani.

Na walipo pelekwa katika baraza waliulizwa " kwa nguvu gani na kwa jina gani ninyi mmefanya haya ? Kwa maana nyingine nao walitaka kujua siri iliyopo ndani ya Yesu tunaye muhubiri leo. Petro akiwa amejaa Roho alijibu na kusema " Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli, Kama tukiulizwa leo habari ya jambo jema alilofanyiwa yule mtu dhaifu ,jinsi alivyoponywa, jueni ninyi nyote na watu wote wa Israeli ya kuwa Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, na Mungu akamfufua katika wafu
Kwa jina hilo mtu huyu anasimama ali mzima mbele yenu . Yeye ndiye jiwe lile liliodharauliwa na nyinyi  waashi nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni . 
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote ,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupaslo sisi kuokolewa kwao.
 Ukiwa na Jina la Yesu ndoa yako itakuwa salama,maisha yako yatakuwa salama,pia utapata mambo mapya na makubwa maana Bwana ni mwaninifu kwa watu wake.
Hata kama huna pesa, umekosa ada ya shule ,huna kazi mtegemee Bwana Yesu maana yeye ndiye mwenye hazina iliyo kuu pia kumcha Bwana ndio chanzo cha Maarifa.

 

  KWA NINI TUNA  MUHUBIRI MUNGU 

NI agizo; Mathayo 28;19 inasema " Basi Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la baba na mwana na Roho mtakatifu na kuwakundisha kuyashika yote niliyo wamuru ninyi, na tazama mimi niko pamoja nanyi  siku zote hata ukamilifu wa dahari  

Watu wamepotea katika DhambiWarumi 6;23" Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika uzima wa milele katika kristo yesu Bwana Yesu Bwana wetu"

Dhambi ni mbaya sana ina uwa,inaleta majuto, imefanya watu kuwa na hali mbaya achana na tamaa mbaya ili dhambi iondolewe  ni kwa umkiri bwana yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako.

 

Pia Alitoa shuhuda juu ya maisha yake ambapo alisema wakati yuko mdogo walikuwa wanaishi Singida Walikuwa wanaishi katika gunia la kutokuwa na matumaini. Alisema "kulikuwa na bibi mmjo hapo kijijini kwa alikuwa ni mchawi sana  iyo siku nikamkanyaga kwa bahati mbaya mtoto wa yule bibi na akaanza kulia huku akienda kwao nilijaribu kumembeleza lakini hakunisikiliza na alikwenda kwa bibi yake na kumwambia;

Kilichotokea majira ya saa nane usiku nilianza kuchapwa viboko na sion mtu anaye nichapa.Asubuhi mama alinipeleka kwa mganga na tukapewa dawa. Ki ukweli baba alikuwa ni mlevi ivyo alikuwa anarudi usiku sana . ilipofika asubui mama alimweleza juu ya hali yangu na hapo alikuja na kunitazama nami nikamsimulia yote, 

 Hapo hapo baba akachukua Panga na kwenda kwa yule bibi na alipofika akamwambia Mwanangu akifa ama zangu ama zako nitahakikisha nawe unakufa akatoa panga na kulinoa jiwe"

Licha ya yule bibi kuwa mchawi lakini aliogopa hapo tunjifunza kuwa wachawi ni waoga hawana kitu pia wanaogopa kufa maana wanajua wanakoenda ni jehanamu kwenya moto wa umilele. lakini watu wa Mungu wanatumaini la kuishi na Bwana Yesu Mbinguni.

 FANYA UAMUZI SASA KWA KUMKILI BWANA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO MAANA HUKO NDIKO KUNA USALAMA.

 


Na Mwandishi wetu Damacy

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.