Majeruhi wa Mabomu Z’bar afariki | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, February 26, 2014

Majeruhi wa Mabomu Z’bar afariki

Mtu mmoja kati ya wanne waliolipukiwa na mabomu, Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, amefariki dunia na kuzikwa jana Visiwani Zanzibar

Mtu mmoja anashikiliwa na polisi kuhusiana na matukio ya milipuko yaliojitokeza katika maeneo matatu Zanziba

. Marehemu aliyetajwa kwa jina la Juma Abdallah Juma (32), alifariki dunia kutokana na majeraha makubwa aliyopata sehemu mbalimbali mwilini.

Katibu wa Hospitali ya Mnazi Moja, Hassan Makame alisema marehemu alifariki juzi jioni wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo.

Alisema majeruhi, Pandu Haji Pandu aliyekatika mguu amehamishiwa katika Chumba Maalumu (ICU) kutokana na majeraha makubwa aliyopata.

Majeruhi mwingine ni Shaaban Khamis Ibrahim ambaye anaendelea kupatiwa matibabu ikiwa ni pamoja na kutolewa kitu kigumu sehemu ya kiunoni kilichosababishwa na mlipuko huo.

Makame alisema majeruhi Simai Hussein Hassan alipatiwa matibabu na kuruhusiwa baada ya hali yake kuimarika.

Akizungumza na gazeti hili katika wodi ya upasuaji wa mifupa Hospitali ya Mnazi Mmoja, majeruhi Shaaban Khamis Ibrahim, alisema mkasa huo ulimpata wakati alipokwenda karibu na karakana ya uchongaji vyuma baada ya pikipiki yake kupata matatizo.

“Baada ya kazi zangu za uvuvi, niligundua pikipiki yangu ina matatizo, nikaenda gereji kuifanyia matengenezo na nilipofika jirani na wachonga vyuma, nikasikia mlipuko na kitu kizito kilikuja kunipiga kiunoni,” alisema majeruhi huyo.

Alisema madaktari walimtoa chembechembe za mabaki ya vitu mwilini, ingawa anatakiwa kufanyiwa vipimo zaidi.

Akizungumza na gazeti hili jana, Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame alisema

Askofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar, Michael Hafidh alisema vyombo vya dola vinatakiwa kuwaeleza wananchi mhusika wa vitendo vya hujuma dhidi ya makanisa Zanzibar.