Mchungaji T.A.G. akutwa amekufa shambani | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, February 24, 2014

Mchungaji T.A.G. akutwa amekufa shambani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema kuwa katika tukio la kwanza Mchungaji wa Kanisa la TAG, lililopo Songwe, Maria Leonard (38) mkazi wa Ihida Kata ya Utengule Usongwe alikutwa amefariki kwenye shamba lake la mahindi..

Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) amefariki dunia amefariki kwenye shamba lake la mahindi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema kuwa katika tukio hilo Mchungaji wa Kanisa la T.A.G, lililopo Songwe, Maria Leonard (38) mkazi wa Ihida Kata ya Utengule Usongwe alikutwa amefariki kwenye shamba lake la mahindi.
Alisema tukio hilo lilitokea saa 6:30 mchana, na kwamba awali ilielezwa kuwa marehemu huyo kabla hajakutwa na mauti hayo, aliwaaga waumini wake na majirani zake kuwa anakwenda kuhudhuria mazishi ya mtu mmoja Wilaya ya Mbozi na kwamba tokea hapo hakuonekana tena.
Msangi alisema mwili wa marehemu huyo ulikutwa ukiwa umeharibika vibaya na pembeni mwa mwili huo kulikutwa na jembe ambalo lilidaiwa kuwa alikuwa akilitumia shambani kwake.
Alisema kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa huenda marehemu huyo alipigwa na radi wakati akiwa shambani kwake.
BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE