MADHARA YA WOGA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, March 27, 2014

MADHARA YA WOGA

 Woga ni dhambi, na waoga hawataurithi ufalme wa Mungu (UFUNUO 21:8). 

Kwa sababu woga ni dhambi, woga hutuzuia kupokea miujiza yetu na pia hutuzuia kuitunza miujiza tuliyoipokea. 

 Ikiwa tunataka kumwona Mungu akitenda kazi, ni lazima tuwe mbali na woga. 

Kuruhusu kutawaliwa na woga, ni kumfanya Mungu kuwa na uwezo mdogo kuliko yale yanayotuogopesha.  Ni kumdharau.  

Ni kukosa imani.  Hatupaswi kuyaogopa makumi elfu ya watu, waliojipanga juu yetu pande zote 

(ZABURI 3:6).  Walio upande wetu, ni wengi kuliko walio upande wao            

   (2 WAFALME 6:15-17).

v  Tusiogope, Bwana atatulisha na watoto wetu            -           MWANZO 50:21;

v  Tusiogope maneno tuliyoyasikia                                 -           ISAYA 37:6;

v  Tusiogope matukano ya watu na dhihaka zao           -           ISAYA 51:7;

v  Tusimwogope Shetani (Mfalme wa Babeli)                -           YEREMIA 42:11;

v  Tusiogope, bali tufurahi na kushangilia                       -           YOELI 2:21;

v  Tusiwaogope wauuao mwili                                       -           MATHAYO 10:28;

v  Tusiogope kuhubiri habari za Wokovu                       -           MATENDO 18:9;

v  Tusiogope mambo yatakayotupata                             -           UFUNUO 2:10.

Tunapomlilia Mungu wakati wote anasema 

“TUSIOGOPE” (MAOMBOLEZO 3:55, 57)

MAANA TUMEKOMBOLEWA (ISAYA 43:1).  Bwana ni ngome ya uzima wetu tumwogope nani?  (ZABURI 27:1).

Mungu Baba asante kwa ujumbe huu.  Hakika mimi ni mnyonge, mwenye dhambi.  Sistahili kuingia mbinguni. Natubu dhambi zangu zote kwa kumaanisha kuziacha.  Kuanzia leo nataka niifuate njia ya Yesu Kristo.  Bwana Yesu niwezeshe.  Asante kwa kunisikia katika Jina la Yesu.  Amen.  Mpendwa msomaji umekubaliwa kuingia mbinguni.  Ili uzidi kudumu katika utakatifu mpaka siku ya kuiaga dunia hii, hakikisha unahudhuria mafundisho katika Kanisa linalohubiri wokovu.  MUNGU AKUBARIKI !!!. . . . .