Soul Breakfast | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, March 28, 2014

Soul Breakfast

3 Years  Anniversary of  soul Breakfast

3 Anniversary ya soul Breakfast

Photo: Km ulaya vile kumbe ni dar es salaam hii hii na yote haya inakujia kwa ajili yakutengeneza maisha yako na kukupa namna ya kuwa baba au mama bora ktk kesho yako. 
Yote haya ni ktk kukukumbusha tuu juu ya soulbreakfast anniversary ya kesho na hii ndio moja ya milango utakayo ingilia utakapokuja.
nakuuliza tena utaikosaje hii event kwa mfano???.
Km una rafiki unaweza mpigia simu au hata txt kumkaribisha kesho au km ni roommets kuwaalika itakua pouwah pia.
Ni ndani ya celebrations za kesho na theme ya live ur dream.
I can't wait. Krb sana
VCCT

Soulbreakfast anniversary:
Tangu tunaanza kuitangaza soulbreakfast tumekuambia mengi sana na wengi sana.sasa naomba nimuongelee mbeba maono ya soulbreakfast na ndie founder na ndie anayeiwezesha hii event kufanyika kila mwezi na breakfast za bure Na wanenaji anaowaletaga kwa ajili yetu mpk kesho tunapotimiza miaka 3 just for free.kwa Neema ya Mungu yeye pmj na kanisa lake wame impact kitu kikubwa sana kwa vijana wengi.Baba huyu anaitwa Dr. Huruma Nkone.ana baraka zetu kutoka juu na kesho pia Ana neno kwa ajili yetu.haikupasi kukosa km kijana.pia atatuombea.hivyo nakutia moyo uskose hiyo kesho wkt baba akiwa ana share pmj nasi.karibuni sana.

Photo: Soulbreakfast anniversary:

Kumbuka kuna usafiri wa bure kwenda na kurudi vcct kutoka campus uliopo.
Plz,dnt plann to miss hii mibaraka yote.
U r welcome.

Pastor Dr. Huruma Nkone

Photo: Katika anniversary hii ya soulbreakfast itakayofanyika hapo kesho n.a. Huyu brother atakuwepo.anaitwa Samuel Sasali.ataongelea theme ya mwaka mpya wa soulbreakfast topic ya *LIVE YOUR DREAM*,ktk maisha haya watu wengi sana pmj na kuonekana wako na mafanikio makubwa wengi wao bado hawaziishi ndoto zao.na wengine wao wanajua walipo sio mahali sahihi lkn pia wakitoka hapo wanaenda wapi??wanamaswali elfu kidogo ya namna ya kuziishi ndogo zao.
Kesho huyu mtumishi wa Mungu Ana neno nawe juu ya acha muchepuko baki njia kuu bila kujali muchepuko ni either biashara na moyoni mwako unajiona kbs wewe ni engineer,ubaki kwenye njia kuu ambayo ndio ndoto yako.
Plz don't plann to miss dis event.itakua pouwah sana.karibuni
Samuel Sasali.ataongelea theme ya mwaka mpya wa soulbreakfast topic ya *LIVE YOUR DREAM*

Photo: Humu ndimo ndani ya ukumbi wa soulbreakfast ya kesho.utaikosaje hii event kwa mfano???.
Km vile nakuona kwenye ile siti Ileee...(joks)!!!.
Lakini tutafurahi sana kujumuika pmj hapo kesho
Humu ndimo ndani ya ukumbi wa soulbreakfast ya kesho.

Credit to;

Dr. Huruma Nkone, Samuel Sasali, Bomby Johnson,Prezzor Fredy Chavala-The King,Jeff Haran M,Elinaja Mwanga Anthony Darmasy