Maombi kwa njia ya barua pepe. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, March 9, 2014

Maombi kwa njia ya barua pepe.

Maombi.

KARIBU KATIKA KONA HII AMBAYO WEWE MSOMAJI UNAWEZA KUTUMA MAHITAJI YAKO AMBAYO UNGEPENDA TUWEZE KUOMBA KWA PAMOJA

kitabu cha 1Yohana 5:14-15 Biblia inasema “Na huu ndio ujasiri tulionao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 15 Na tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba .

Mstari huu ndio  ambao utakuwa mstari wetu wa msingi katika Maombezi yetu kwa njia hii ya Barua pepe. Mzee Yohana anatutia Moyo kwa neno hili kwamba  lolote tumuombalo Mungu haijalishi ni kubwa au dogo maadam tukaomba sawasawa na mapenzi ya Mungu basi tuwe  na  uhakika  anatusikia.

Nimeona Mungu akijibu wengi, akifungua waliofungwa na kuponya wengi katika huduma hii . Nawe amini tu, Bwana atafanya njia kwa ajili yako pia.

 Sasa kama unataka tuweze kuomba pamoja na wewe katika shida/ haja yoyote uliyonayo huenda  ndoa, masomo, familia, wazazi, huduma, kanisa, uongozi, Biashara, kazi, watoto, afya yako,nk. Unaweza ukatuma hitaji lako katika anuani ifuatayo;

damasdogan@gmail.com

Na mara utakapotuma, waombaji wa huduma hii pamoja na wasomaji wa blogu hii (endapo utataka washirikishwe au yawe wazi kwa watu wote), basi tutaendelea kuomba pamoja na wewe. Kitu cha muhimu kumbuka mbele za Mungu hakuna jambo lisilowezekana.

Maana anamwambia Yeremia katika Yeremia 32:27 “Tazama mimi ni BWANA Mungu wa wote wenye mwili;je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza?.Sikiliza msomaji mpendwa Hakuna jambo gumu la Kumshinda Bwana.

MUNGU AKUBARIKI, UWE NA IMANI KWAMBA ATAFANYA, MAANA KILA AMWENDEAYE MUNGU LAZIMA  AAMINI KWAMBA YUPO NA KWAMBA HUWAPA THAWABU WAMTAFUTAO