REBECA MALOPE TAMASHA LA PASAKA 2014 DAR. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, March 12, 2014

REBECA MALOPE TAMASHA LA PASAKA 2014 DAR.

 MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu. 

Rebecca Malope

TAMASHA la Pasaka mwaka huu limetimiza miaka 14 tangu kuasisiwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam imekuwa ikijiongezea umaarufu na kukubalika zaidi kutokana na ubunifu wake wa kufanya maadhimisho ya Sikukuu za Pasaka na Krismasi kwa umahiri na mguso wa kiroho kupitia matamasha hayo.

Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April
20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya

 “Tanzania kwanza haki huinuaTaifa”

Msama alisema,maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika na katika mazingira ya kwenda na wakati,limekuwa na kauli mbiu ya “Tanzania kwanza haki huinua Taifa”.

1
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama,

Miongoni mwa waimbaji waliotikisa tamasha la Krismas ambalo lilizinduliwa rasmi Desemba 25,mwaka jana jijini Dar,kabla ya kuhamia mikoani,

Ni Solly Mahlangu,

Ephrahim Sekereti,

Rose Muhando,

  Upendo Kilahirio

  Upendo Kilahirio

Upendo Nkone

Edson Mwasabwite

wengineo,wakiwemo vijana wa Acapella
a.k.a The Voice.

The Voice.

 Hapana shaka kuwa ubunifu huu ndio ulichangia hata Serikali kupitia Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenela Mukangala, kumteua Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, kuwa Mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)./ Apostledarmacy.blogspot.com inatoa pongezi kwa Msama Promotions.

Anthony Darmasy
http://apostledarmacy.blogspot.com/