NI KATIKA KUELEKEA MAHADHIMISHO YA MIAKA 75 YA KANISA LA T.A.G
Umoja wa Vijana wajumbe wa Kristo Tanzania CA'S Section ya soko Matola ya Mbeya Leo ilikuwa ni kilele cha kuhadhimisha Katika idara ya CA'S
Wamaefanya maandamano Kuelekea sherere ya Madhimisho ya Miaka 75 ya kanisa la T.A.G
Ambapo Kanisa lilianzishwa mnamo mwaka 1939 na Missionary Paul, D
Katika miaka ya 1952 kanisa limekuwa ki idadi mpaka sasa kuna wachungaji 6000 na Waumini takribani Million tano.
Maadamano hayo yalianzia katika kanisa la Jelusalemu Temple kwa Makamu Askofu wa Jimbo Mch.Adson Mwajunga
 |
Makamu Askofu wa Jimbo Mch.Adson Mwajunga |
 |
IBADA NDANI YA KANISA LA JERUSALEM TEMPLE, |
Maandamano hayo yalipita maeneno mbalimbali ya jiji la Mbeya ikiwemo Stendi kuu ambapo Sifa pamoja na neno la Mungu lilihubiriwa katika viwanja vya stendi.
 |
Mbeya Stendi |
 |
Ndani ya stendi |
Pia mitaa ya uhindini,sokoine,sinde na magereza
 |
YOHANA MWASONGWE Ndani ya Sokoine |
|
|
|
 |
NYIMBO ZA SIFA | |
 |
Gari la matangazo |
 |
Mitaa ya Sinde |
 |
CA'S FOREST CHINI YA KIONGOZI WAO KAKA MPOKI |
Maandamano hayo yalihitimishwa katika kanisa la T.AG. Forest kwa kupokelewa na Mkurugenzi wa CA'S Rev. Thobias Tambikeni
 |
Pastor Thobias Tambikeni Na Mama Mchungaji |
 |
Ndani kanisa T.A.G |
Pia ibada ilipambwa nyimbo za kusifu ambapo Kikindi cha Praise chini ya Kiongozi wao Yosia Bayo
 |
blogger |
IENDE MBELE INJILI YA YESU
ndo maana tuwambia indee mbelee ndo maana tuna wambia inde
Toa Maoni Hapa Chini