WANAWAKE NA HUDUMA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, March 8, 2014

WANAWAKE NA HUDUMA

NI KATIKA NYUMBA YA MUNGU  ZABURI 68:11

Leo ni siku ya wanawake duniani.
Nakuletea ujumbe huu kuhusu wanawake, lakini pia kila mtu anatakiwa kujifunza.

§Neno Jeshi limetafisiriwa kutoka neno la kiebrania tsaba
§Maana ya tsaba: Kusanyiko la wanawake lililojiandaa kwa vita
§Tafisiri ya mstari Zab 68:11
§‘’Bwana alitoa neno lake: wanawake watangazao habari njema ni kusanyiko kubwa lililojiandaa kwa vita.’’
§Mwanamke aliumbwa awe msaidizi wa mumewe (ona Mwanzo 2:18).
§Baada ya kuweka msingi huo, hebu sasa tutazame baadhi ya wanawake ambao Mungu aliwatumia kutimiza makusudi Yake.
§ Kabla ya kutazama mwanamke mmoja, ni vizuri ijulikane kwamba kila mtu maarufu wa Mungu katika Agano la Kale alizaliwa na kulelewa na mwanamke.
§Asingekuwepo Musa bila ya mwanamke aliyeitwa Yokebedi (ona Kutoka 6:20).
§ Wala wasingekuwepo watu wengine maarufu na wakuu wa Mungu kama si akina mama wa hao watu.
§ Wanawake wamepewa na Mungu wajibu mzito na huduma yenye sifa kubwa ya kuwakuza watoto katika Bwana (ona 2Timo. 1:5).
1.MIRIAMU NABII WA ISRAEL:
  Soma Kutoka 2 na 15 na Hesabu 12 na 20
Miriam alikuwa ni dada wa Musa na Haruni na Jina la Miriam linamaana ya anayempenda Bwana.
Hesabu 26:59 Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi, binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amramu Haruni, na Musa, na Miriamu umbu lao.
. DEBORA :  Waamuzi 4,5
Baada ya kifo cha Joshua aliyewaongoza wana wa Israeli kuingia nchi ya ahadi ya Kanaani, Mungu aliwainua waamuzi kuwaongoza wana wa Israeli.
Miongoni mwa waamuzi hao alikuwepo mwamuzi wa kwanza na pekee wa kike aitwaye Debora.
Debora aliwaongoza wana wa Israeli kwa ujasri mkubwa na aliheshimika sana na watu wa nchi yake.
Biblia inatuambia kuwa Debora alikuwa ameolewa  na hilo halikumzuia kufanya  majukumu yake kama mwamuzi kwa ufanisi.