SPECIAL THANX
Leo ni siku ya wanawake duniani kwa heshima na umuhimu wa mama Managing Director wa http://apostledarmacy.blogspot.com/ ana watakia heri wanawake wote Ulimwengu.
Hakika Bila Mama Hatuwezi lolote Mama ni msingi wa Mafanikio yako Muheshimu na uthamini kwa Yote aliyo kutendea mpaka leo na ume fika mahali fulani katika maisha .
HAKIKA WEMA NA FADHLI ZITANIFUATA SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU ZABURI 23:6
 |
Anthony Darmasy & Beloved Mumy Angel Damas |
Halleluya Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni Mwema na Fadhili zake ni Za Milele
Zaburi 118:1
BLESS U MY BELOVED MUMY
 |
ANGELINA DAMAS |
Every thing i have I just copy from My Mumy
1 Watheselonike 5:12
Enzi za Analog now Digital
 |
Katika kazi enzi zile |
Beloved Mumy on work those Day"s
At ABC DIGITAL STUDIO
NANI KAMA MAMA HAKUNA KAMA MAMA
 |
DAMAS |
Toa Maoni Hapa Chini