SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 75 YA TAG | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, July 11, 2014

SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 75 YA TAG

MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 75 YA TAG TANZANIA YALETA NEEMA MKOA WA MBEYA.

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Husein Kandoro, alipokea vyandarua 650 toka kwa Askofu mkuu wa TAG nchini,
Dk. Barnabas Mtokambali,
 
Askofu Mkuu wa TAG nchini, Dk. Barnabas Mtokambali, akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa MMRP jijini hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Abasi Husein Kandoro akishukuru msaada huo kwaniaba ya Hospitali ya rufaa
Dr. Leonard Maboko Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ya TAG ambae pia ni Mkurugenzi wa NIMR, akitoa neno kwa wageni
Kaimu mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dr. Kaimu Mku Humphrey Kihwelu akimkaribisha mkuu wa mkoa Mbeya

KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) nchini linaadhimisha sherehe za miaka 75 tangu kuzaliwa kwake zinazofanyika kitaifa Mkoani Mbeya.
Kutokana na maadhimisho hayo Jiji na Mkoa wa Mbeya utanufaika na sherehe hizo kutokana na shughuli ambazo Kanisa hilo litafanya katika siku zote za maadhimisho hayo.
Akizungumza na waandishi wa Habari, Askofu Mkuu wa TAG nchini, Dk. Barnabas Mtokambali, katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa MMRP jijini hapa, alisema Sherehe hizo zitaambatana na shughuli mbali mbali.
Alisema maadhimisho hayo yatafikia kilele Julai 13, Mwaka huu katika sherehe zitakazofanyika katika viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Dk. Jakaya Kikwete Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Askofu alisema kabla ya sherehe hizo kutakuwa na zoezi la kugawa  vyandarua 8550 vyenye thamani ya shilingi 270 kwa ajili ya Hospital,Vituo vya Afya pamoja na zahanati zinazo laza wagonjwa katika Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Njombe.
Askofu Mtokambali alisema mbali na kanisa kutoa msaada wa Kiroho kwa waumini wake lakini limeona katika kushurehekea miaka 75 ya tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo hapa nchini ni bora wakafanya na huduma za kijamii.
Askofu Mtokambali alisema vyandarua vitagawiwa katika Hospitali 34 na vituo vya afya 83 katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa zoezi litakalofanyika kuanzia Julai 1 hadi julai 4, Mwaka huu.
Alisema katika mgawanyo huo vyandarua 1300 vitaenda Mkoani Rukwa katika Hospitali 3 na vituo vya afya 22, Mkoa wa Njombe vyandarua 3100 kwa ajili ya Hospitali 11 na vituo vya afya 25.
Askofu alisema Vyandarua 4150 vitabaki Mkoa wa Mbeya katika Hospitali 20 na vituo vya afya 36 ambapo kati yake Vyandarua 500 vitabaki katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya na Vyandarua 150 vitakua kwa ajili ya Hospitali ya Wazazi ya Meta.
Mbali na msaada wa vyandarua Askofu Mtokambali alisema pia kanisa hilo litaendesha zoezi la uchangaji damu litakalowagusa Wachungaji zaidi ya 800  hivyo kupunguza upungufu wa damu unaokikabili kituo cha damu salama Kanda ya Mbeya.
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Husein Kandoro, alipokea vyandarua 650 kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mbeya ambapo kati yake vyandarua 150 vitagawiwa katika Hospitali ya Wazazi ya Meta.
 
Credit to; Mbeya yetu
JOSEPH MWAISANGO
MWANDISHI MKUU
j.mwaisango@tonemg.com
+255 754 374408