Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Hujambo? Naamini u buheri wa afya na UMEAMKA NA BBC!
Karibu makinika nasi! Kwa uchache haya utayasikia katika AMKA NA BBC!
Umoja wa Mataifa umesema serikali ya Syria imekubali kuruhusu misaada ya kibinadamu kwenda katika mji uliozingirwa wa Madaya ambayo kuna taarifa watu wamekuwa wakifa kwa njaa na hata wengine kulazimika kula majani na udongo.
Wakati suala la mjadala wa kitaifa ukizidi kurindima nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,kuelekea uchaguzi wa wabunge pamoja na uraisi mwaka huu,vyama vya kisiasa vinazidi kugawanyika
Mgogoro wa kidemokrasia unaoendelea Iran na Saudia umesukuma baadhi ya nchi za kiislamu kuunga mkono upande mmoja ama mwengine, barani Afrika Somalia imekataa ushirikiano wa kidiplomasia na nchi ya Iran.
Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mmbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika
Haya ni kwa uchache! Kwa undani na mengi zaidi! AMKA NA BBC.