Sasa simu yako ni ofisi yako.
Sasa hakuna sababu ya kutolipwa kwa kutumia
mda wa maongezi wa mtandao wowote ule (Voda, Tigo, Airtel na Zantel)
kwa matumizi yako na ya waalikiwa wako kwa vizazi 15 kwenda chini. Kwa
mtaji wa TZS 128,500 tu utapata fursa ya kutengeneza kipato cha wiki na
mwezi kinachoweza kuzidi TZS milioni kumi kwa mwezi
Zantel imeingia
mkataba na Rifaro Africa Ltd (www.rifaroafrica.com)
ambaye ni Wakala Mkuu (Super Dealer) wake kusambaza huduma ya Zantel airtime na
Ezypesa kwa kutumia mfumo wa mtandao.
Kwa sasa kampuni za
mawasiliano zina mnyororo wa wadau wa kati ambao ni Wakala Mkuu, Wakala na
Wauza rejareja. Katika mnyororo huu, Wakala Mkuu anapata asilimia 2, Wakala
anapata asilimia 2 na Wauza Rejareja wanapata asilimia 5 kama commission ya
mauzo yao.
Katika mfumo huu
mpya wa Rifaro, Wakala na Wauza Rejareja wameondolewa na badala yake kuna watu
wanaitwa Wasambazaji (Distributors) ambao wanawakilisha Wakala, Wauza Rejareja
na Watumiaji. Hivyo unapojiunga na biashara hii basi wewe unakuwa ni Msambazaji
ambaye atalipwa malipo yaliyokuwa yanalipwa kwa Mawakala na Wauzaji Rejareja.
Kuwekeza kwenye
biashara hii kama Msambazaji unalipa TZS 76,500 kununua kifurushi (Starter Kit)
cha kuanzia ambacho kina vocha ya Zantel ya TZS 10,000, kitabu cha muongozo
kuhusu biashara hii pamoja na matarajio ya mapato na kadi ambayo ina namba ya
siri kwa ajili ya kujiunga na biashara hii. Unatakiwa ujiunge kwa kutumia laini
ya Zantel hivyo kama huna laini ya Zantel basi itabidi usajili laini mpya kwa
ajili ya kujiungia na fursa hii ambayo utaipata bure kutoka kwenye kituo kitakachokuuzia kifurushi cha kujiunga na fursa hii.
Ni lazima ujiunge
kupitia kwa Mdhamini ambaye ni mfanyabiashara aliyeshajiunga na biashara hii
tayari. Hivyo ukiwa tayari kujiunga basi nitakupatia namba yangu ya udhamini
ili uweze kujiunga. Utajiunga kwa kufuata maelekezo yatakayokuwepo kwenye kadi
utakayopata ununuapo kifurushi.
Baada ya kujiunga,
utapata namba yako ya udhamini ili uweze kuwadhamini watu wapya wanaotaka
kujiunga na biashara hii pamoja na namba ya siri ya kuingia kwenye ofisi yako
kwenye tovuti ambapo utaweza kuwaona watu uliowadhamini kwenye biashara hii kwa
vizazi kumi na mbili kwenda chini. Utaanza kualika watu kwenye mradi huu mara baada ya
kupata namba yako ya udhamini ili wajiunge kupitia namba yako ya udhamini.
Utapata TZS 10,000
kwa kila mtu utakayemdhamini ambao ndio kizazi chako cha kwanza. Watu wa kizazi
cha kwanza watawaalika watu wao ambao watakuwa kwenye kizazi chako cha pili.
Utapata TZS 4,000 kwa kila mtu atakayeingia kwenye kizazi chako cha pili.
Utapata TZS 2,000 kwa kila atakayeingia kwenye vizazi vyako kuanzia cha tatu
mpaka cha tano. Utapata TZS 1,000 kwa kila atakayeingia kuanzia kizazi cha sita
mpaka cha kumi na moja na utapata TZS 2,000 kwa atakayeingia kwenye kizazi chako cha
kumi na mbili ambacho ni cha mwisho kwa malipo ya mtandao.
Malipo haya unayoyapata
ya watu kujiunga na biashara hii kwa kulipia TZS 76,500 ni malipo ya wiki yanayolipwa
kila wiki siku ya Jumatano kwenya akaunti yako ya Ezypesa.
Kwa mfano,
ukijiunga halafu ukaalika watu watano na hao watu watano kila mmoja akaalika
watu watano kwa vizazi vitano tu kwenda chini basi utakuwa umetengeneza TZS
7,900,000.
Malipo ya aina ya
pili utakayoyapata kwenye biashara hii ni malipo ya mwezi. Utapata haki ya
kupata mapato haya katika mwezi husika kama utakuwa umetumia mda wa maongezi wa
Zantel kupitia Ezypesa usiopungua TZS 10,000 katika mwezi husika, kitu ambacho
tunafanya kwenye matumizi yetu ya simu kupitia kampuni zingine lakini hatulipwi
kitu chochote. Utapata asilimia 1 ya matumizi yako ya mda wa maongezi pamoja na
mda wa maongezi wa waalikwa wako walioko kwenye kizazi chako cha kumi na mbili. Utapata
asilimia 0.5 ya mda wa maongezi wa waalikwa wako kuanzia kizazi cha kwanza
mpaka cha kumi na moja.
Tuchukulie
umewadhamini watu kumi na hao watu kumi kila mmoja akadhamini watu kumi kwa
vizazi vitano tu kwenda chini na tuchukulie kwamba kila mtu atatumia TZS 10,000
kwa mwezi ili apate haki ya kupata mapato ya mwezi basi utakuwa unapata TZS
5,555,000 kila mwezi.
Malipo ya aina ya
tatu ni Zawadi. Utapata zawadi kulingana na idadi ya watu uliowadhamini kwenye
mtandao wako kwa vizazi kumi na mbili kwenda chini. Kuna zawadi ya kwenda mji mtakatifu
ambapo unalipiwa kila kitu na kampuni (kwa Wakristo Jerusalem na kwa Waislam
Makka), zawadi ya kiwanja, zawadi ya gari, zawadi ya gari la kifahari na zawadi
ya jumba la kifahari.
Unaweza vilevile
kuomba kuwa msambazaji wa laini za Zantel kwa kuwasajili watu laini mpya za
Zantel bure ukishafikisha watu 12 uliowadhamini kwenye kizazi chako cha kwanza.
Utapata asilimia 20 ya matumizi yao ya mda wa maongezi kwa kipindi cha miezi
mitatu kisha asilimia 10 kwa kipindi kingine cha miezi mitatu na baada ya hapo
mteja atarudi Zantel au uwe umemdhamini kujiunga na biashara hii.
Baada ya kuwa
mfanyabiashara hii, unaweza kuomba kufungua kituo cha kutoa huduma kwa
Wasambazaji pamoja na kutoa huduma za Zantel katika eneo lako. Kituo kinaitwa
Rifaro Center. Unatakiwa uwe na ofisi ambayo inaweza kuweka viti na meza
zisizopungua 60 kwa ajili ya kuwafundishia Wasambazaji wapya katika eneo lako la
biashara na uweze kununua angalau vifurushi 22 kama kituo kitafunguliwa ndani
ya Dar es Salaam au angalau vifurushi 50 kama kituo kitafunguliwa nje ya Dar es
Salaam.
Utakuwa unanunua
vifurushi hivi kwa bei ya jumla ya TZS 70,000 na kuviuza kwa bei ya rejareja ya
TZS 76,500 na hivyo kupata faida ya TZS 6,500 kwa kila kifurushi. Vilevile
utalipwa kuanzia asilimia 1.5 mpaka asilimia 3.5 ya mauzo ya vifurushi kama
commission ya mauzo kwenye kituo chako kutegemea na umeuza chini ya matarajio,
ndani ya matarajio au juu ya matarajio.
Kituo
kikishafunguliwa katika eneo fulani (ndani ya kilomita fulani) basi hakuna mtu
mwingine ataruhusiwa kufungua kituo katika eneo hilo. Fursa ya kufungua vituo
kwa sasa ni nyingi kutokana na ukweli kwamba biashara hii ndio kwanza inaanza
hivyo haijaenea sehemu nyingi.
Wasambazaji
watakuwa wanakuja kwenye kituo chako kwa ajili ya kununua vifurushi vya
kuwadhamini watu wao wajiunge na mradi huu kupitia udhamini wao. Utaweza vilevile
kuwadhamini watu wako kwa kutumia namba yako ya udhamini kuwaunga na biashara
ya usambazaji na hivyo kupata kipato cha mtandao pia juu ya vipatao
nilivyovielezea hapo juu wanavyopata wamiliki wa vituo vya Rifaro Centers.
Kama huna mtaji wa
kufungua Rifaro Center basi mtafute mtu mwenye uwezo umueleze kuhusu fursa hii.
Akikubali basi kwanza mdhamini ajiunge kama Msambazaji ili aweze kuomba
kufungua kituo cha Rifaro Center. Akifungua kituo basi atakuletea watu wengi
kwenye kizazi chako cha pili ambao watakuwa wanajiunga kupitia udhamini wake
kwani ukiwa na kituo basi watu wengi watajua fursa hii kupitia matangazo
yatakayokuwepo kwenye kituo.
Kampuni ya Rifaro
Africa Ltd ipo mbioni kuanzisha kadi ya benki (Master Card) ambayo itakuwezesha
kuhamisha pesa zako kutoka kwenye account yako ya Ezypesa ambapo mapato yako
kwenye biashara hii yanalipwa kwenda kwenye kadi hivyo utaweza kutoa hela
kwenye ATM yoyote ile pamoja na kutumia kadi kufanya manunuzi katika maduka na
supermarkets zinazokubali malipo kufanywa kwenye kadi.
Vilevile, mfumo wa
Bima ya Afya kwa Wasambazaji uko njiani ambapo utaweza kupata huduma ya
matibabu kutegemea na vigezo vitakavyowekwa na kampuni.
Mwisho ningependa
kuchukua nafasi hii kukufahamisha kwamba hii ni fursa adimu sana kutokana na sababu hizi kuu kumi:
Kwanza, unaweza
kufikiria biashara yoyote utakayoweza kuianza kwa mtaji wa TZS 76,500? Hata biashara ya genge huwezi kuanza na mtaji huu! Ni
biashara hii tu pekee utaweza kuanza na mtaji mdogo kiasi hiki na bado
uwezekano wa mapato yako ya mwezi ni mkubwa kuliko mtu mwenye mtaji wa kufanya
biashara ya Daladala.
Pili
kwenye biashara hii, mtandao wako ni asset yako ambayo
itakupatia kipato cha milele tofauti na kazini kwani ukiachishwa kazi au
kustaafu basi kipato nacho kinayeyuka. Ni vizuri ukaifanya biashara hii
wakati uko kazini ili ukija kustaafu uwe na chanzo cha uhakika cha
mapato kwani wafanyakazi wengi huwa wanakufa siku si zao baada ya
kustaafu kutokana na kukosa kipato cha kuendesha maisha yao kama
walivyozoea wakati wako kazini. Vilevile kazini unakuwa na watu wengi
wenye uwezo unaokutana nao hivyo tumia fursa hiyo kujijengea asset
ambayo itakufanya uishi kama mfalme maisha yako yote pamoja na kuacha
urithi kwa vizazi na vizazi vyako vijavyo kwani mtandao wako ni asset
yako ya milele ambayo itaendelea kukua kadri siku zinavyoenda.
Tatu
utaokoa matumizi ya mda wa
maongezi pamoja na bundle za internet ukitumia huduma za Zantel kwani
bei zake ni nafuu kuliko mitandao
mingine na vilevile unalipwa 1% ya matumizi yako kama commission ukiwa
kwenye
mradi huu. Kuna watu wanasema Zantel haipo sehemu nyingi hivyo
wanashindwa kuwasiliana na watu wao. Hii sio sababu kwa sababu
ukishanunua kifurushi cha Zantel cha kupiga mitandao yote ambacho ni bei
nafuu, basi utatumia simu yako kumpigia mtu yeyote yule aliyeko popote
pale Tanzania hata kama hatumii Zantel. Vilevile kutokana na biashara
hii, mtandao wa Zantel unaenea kwa kasi ya ajabu Tanzania nzima.
Nne
kwenye biashara hii, huna haja ya kuwa na ofisi huna haja ya kulipia
gharama zinazoendana na ofisi kama vile pango, umeme, maji, n.k. Simu
yako ndio ofisi yako!! Unaongea na mtu kumuelezea fursa hii akikuelewa
unampa namba yako ya udhamini anajiunga kwenye simu yake kupitia
udhamini wako. Biashara imeisha.
Tano
kwenye biashara hii mtu akishaingia kwenye mtandao wako basi atakuwa
chanzo chako cha kudumu cha kupata kipato kupitia mfumo huu wa mtandao
lakini ukiwa muuzaji wa huduma ya airtime nje ya mfumo huu basi mpaka
mtu aje sehemu yako ya biashara kununua mda wa maongezi ndio upate
kipato.
Sita
ni biashara ambayo haiitaji usimamizi kwani huwezi kuibiwa kitu
ukilinganisha na biashara zingine. Mtu akijiunga kupitia kwako unamuona
kwenye ofisi yako ya hewani kwa vizazi vyote 12 kwenda chini na
akishaingia basi kaingia, hawezi kutolewa kwa njia yoyote ile na
utaendelea kupata commission ya matumizi yake ya mda wa maongezi ya
Zantel kupitia Ezypesa milele.
Saba
ni biashara ambayo huduma yake (Airtime) kila mtu anaihitaji kwenye
jamii haijalishi hali yake kiuchumi kwani hata kuli inabidi awe na simu
hata ya mchina ili aweze kutafutwa kwenye vibarua na hivyo kupata rizki
yake. Hivyo huwezi kukosa watu watakaopenda kujiunga na biashara hii
hasa ukichukulia kwamba huduma za Zantel ni nafuu kuliko mitandao
mingine.
Nane
ni biashara ambayo unaweza kuitilia maani kwa mda mfupi tu kwa
kuwaalika watu kadhaa kutokana na network ya watu unaowajua halafu
ukaachana nayo kabisa lakini mtandao wako bado utaendelea kukua kwani
walioalikwa nao wataalika watu wao hivyo kuufanya mtandao wako uendelee
kukua.
Tisa
ni biashara ambayo haihitaji uwe na elimu ili uweze kuifanya. Mtu
yeyote yule anaweza kuifanya biashara hii na kupata mafanikio makubwa.
Kwenye fursa hii, si jambo la ajabu mtu ambaye hakusoma kabisa akapata
kipato kikubwa kuliko mtu mwenye PhD.
Kumi
hii ni biashara endelevu kwani hakutakuja kuwa na wakati ambapo huduma
za mawasiliano hazitahitajika na hakutakuwa na wakati ambapo watu wa
kujiunga na biashara hii watakoma kwani kila siku kuna watu wanatoka
kwenye umri chini ya miaka 18 wanaingia kwenye umri huu wa miaka 18 na
hivyo kuruhusiwa kisheria kufanya biashara hii.
Natarajia maelezo
hayo juu yamekupa picha kamili kuhusu fursa hii. Kama una swali lolote basi
usisite kuniuliza.
Ukiwa tayari
kujiunga na fursa hii ya kuwa Msambazaji wa huduma ya mda wa maongezi wa Zantel
basi nijulishe ili niweze kukudhamini ujiunge na fursa hii.
Kwa mawasiliano
piga 0769 020921. DAMAS ANTHONY . Namba ya udhamini kama ukitaka kujiunga ni R498638.
Kwa
walio Dar es Salaam, tembeleeni ofisini kwetu kupata maelezo na
vielelezo vya kina kuhusu fursa hii adimu. Ofisi ipo Makumbusho Bus
Terminal & Shopping Complex, Ghorofa ya kwanza, Chumba namba FF-04.
Utaona sticker mlangoni iliyoandikwa Sasa simu yako ni ofisi yako.
Kwa
walio nje ya Dar es Salaam, mpaka sasa vituo vimeshafunguliwa maeneo
yafuatayo ambapo unaweza kwenda kwenye kituo na kuweza kununua kifurushi
cha kuanzia biashara hii:
Kibaha
Geita
Dodoma
Shinyanga
Zanzibar
Arusha
Mbeya
Morogoro
Songea
Tanga
Mwanza
Moshi
Bado
kuna fursa za kufungua vituo hivi ama kwenye hiyo mikoa iliyoorodheshwa
hapo juu au nje ya mikoa hiyo kwa wale watakaotaka kufanya biashara hii
ya kufungua vituo vya Rifaro Centers. Biashara hii inalipa mno
ukilinganisha na uwakala wa kawaida wa huduma za Airtime kwani juu ya
kupata asilimia 2 ya mauzo ya Airtime ambayo ma agents wanapata unapata
pia faida ya TZS 6,500 kwa kila kifurushi utakachouza, unapata asilimia
1.5 mpaka 3.5 ya mauzo ya vifurushi kwenye kituo chako kama commission
na kikubwa zaidi utapata kipato cha mtandao kwani fursa hii ni mpya
hivyo watu wengi wataifahamu fursa hii kupitia matangazo yatakayokuwepo
kwenye kituo chako na hivyo hawatakuwa na mdhamini hivyo wewe mwenye
kituo utatumia namba yako ya udhamini kuwadhamini wajiunge na biashara
hii na hivyo kupata kipato cha mtandao pia kwa vizazi 12 kwenda chini.
Juu ya manufaa haya ya ziada utakayopata kwa kufungua kituo cha Rifaro
Center, bado mtaji wake ni mdogo mno ukilinganisha na mtaji
utakaohitajika kuwa nao kama utataka kuwa agent wa kampuni zingine za
mawasiliano.
Wahi
sasa kufungua vituo wakati wengine bado wamelala ili unufaike na fursa
hii adimu. Tuwasiliane kwa mawasiliano niliyoyaweka hapo juu.