Rifaro Africa Amazing Business Opportunity
Contact 0769-020921 kwa Iringa
RIFARO AFRICA ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la
kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani
anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO.
-kampuni ilipata wazo hili
toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi
wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji
utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba upo sahihi!
BIDHAA
-kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ",
bidhaa ambayo katika maisha ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni
mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia
sana!KUMBUKA SI MAANISHI KUA UNAKUA MUIZA VOCH BALI KWA MATUMIZI YAKO
BINAFSI UNALIPWA.
MFUMO
- Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao "Network marketing "
Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia
nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo,
uwepo usiwepo biashara yako huendelea kuwepo.
- Rifaro wameuweka
mfumo huu katika vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1-15 kwa uwiano
tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi!
AINA ZA MALIPO
👇🏾
MALIPO
I.Malipo ya wiki
-haya ni malipo yanayotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana
na washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha kwanza hadi 15.
Utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya walioingia katika hiyo week husika.
Week ya Rifaro inaanza jumatatu saa 12:01 usiku na kufungwa jumapili 12:00 usiku.
- malipo haya hulipwa siku ya jumatano kwenye ATM Card yako (visa) .
MALIPO YAPO VIPI?
Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.
Kizazi 2: 8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7-kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi
Mfano kwa mezi ukaingiza watu kumi..na kila atakaiingia aingize wati 10.nimfano mnaweza ingiza wengi muwezavyo
1)20000×10=200,000
2)8000×100=800,000
3)5000×1000=5m
4)5000×10000=50m
5)5000×100000=500m
6)more than 500m
7-15)🙆
MALIPO YA MWEZI
- haya ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia
wewe binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.
-kampuni inatulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima.
Wewe : 1% ya matumizi yako.
Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano.
Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo 10.
(1 + 2.5 + 2.5 = 6 )
Inatupa jumla ya 6% , asilimia 0.5% iliyobaki ni kwa ajili ya ZAWADI
kampuni itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi
cha 1-15.
* labda team yako nzima una watu 100,000 na ukalipwa
0.5% ya sh 20000/= atakayoitumia kila mmoja katika huo mwezi. Utalipwa
10,000,000/=. (PIGA HESABU).
0.5% ya ZAWADI
-15,000 watu : Kiwanja
-25,000 watu: safari ya macca /Israel kujitakasa.
-40,000 : gari 1(15mln kwa thamani ya sasa hivi)
-70,000 : gari 2 (150 mln kwa thamani iliyowekwa sasa hivi na kampuni)
- 120,000 : POSH VILLA (nyumba ya kifahari), 400-500 milion kwa thamani iliyowekwa sasa hivi.
na unaweza chagua aidha apartments,hotel, au nyumba ya kuishi!
MTAJI WA BIASHARA
👇🏾
MTAJI
Kama zilivyo biashara nyingine, hii pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128,500/=
- utapatiwa kifurushi chenye
1. DVD
2. ATM card(2000/= salio ndani yake)
3.kitabu cha biashara
4. Website (kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)
-5000/= salio
FOR ENGLISH
RIFARO AFRICA LIMITED is a network marketing company that uses the
direct selling method to distribute telecommunication products and
services primarily and exclusively using an online platform. At Rifaro
Africa, we not only sell products t
hat
people NEED but products that EVERYONE uses .In addition, it is evident
that telecommunication companies spend billions in advertising their
products, and now with Rifaro Africa, we simply save the marketing
expenses for billboards, and TV commercials, and pass that back to the
average user like you and me as incentives and commissions when you just
sign up and promote Rifaro products as a Rifaro Africa Distributor.