Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Mnenaji Mch. Mwakibuti
Katika kanisa la TAG SEMTEMA
AINA ZA MADHABAHU.
Kuna Aina Kuu Mbili Za Madhabahu, Kwa Sababu Hata Ibada Ni Mbili Tu.
a) Madhabahu Za Ki-Mungu
b) Madhabahu Za Ki- Shetani.
Madhabahu Za Kimungu, Hujengwa Kwa Ajili Ya Kumwabudu Mungu Aliyeziumba Mbingu Na Nchi, Yaani Kuabudu Katika Roho Na Kweli(yohana4:23-24)
Hizi Hutumiwa Na Wote Wamwaminio Mungu Na Kristo Wake.
Madhabahu Za Kishetani Hujengwa Au Huwekwa Ili Kumwabudu Shetani.Hizi Hutumiwa Sana Na Waganga Wa Kienyeji, Wachawi, Wazee Wa Jadi Na Freemason.
Madhabahu Zote Hizi Zina Watu.
Madhabahu Hizi Zote Ili Zitoe Majibu Ya Maombi Ya Watu, Zinahitaji Sadaka.
Kumbuka; Hakuna Madhabahu Hakuna Sadaka, Hakuna Sadaka Hakuna Madhabahu, Hakuna Madhabahu Hakuna Ibada.
Nini Maana Yake?
Ibada Hufanyika Madhabahuni Na Sadaka Hutolewa Juu Ya Madhabahu.
Ukitaka Utajiri Lazima Utoe Mwanao Wa Kwanza, Au Mke, Au Mzazi, Hiyo Ni Sadaka Kwenye Madhabahu Ya Shetani, Na Hautoi Popote Ipo Sehemu Maalum.
Mungu Naye Anataka Sadaka Kwenye Madhabahu Ili Ijibu.