Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Leo Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amefanya ziara ktk Mkoa wa Iringa,lengo ikiwa ni kuwatembelea wananchi wa Tarafa ya Pawaga baada ya kupatwa na mafuriko.Waziri Mkuu alitua katika uwanja wa Nduli na baadae akapelekwa kuwatembelea wahanga hao katika eneo la bonde la mto Ruaha na Tarafa ya Pawaga
Ziara hiyo imewakutanisha Mh.Mbunge wa Jimbo la Iringa ndugu Peter Msigwa na DC Kasesera ambao siku za hivi karibuni walionekana ktk video mtandaoni wakitofautina.Mafuriko hayo yameacha watu wengi bila makazi,chakula na pia kusababisha mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.Tarafa ya Pawaga ipo ktk Jimbo la Isimani la Mh.William Lukuvi.
Baada ya mafuriko hayo kutokea,ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kushirikiana na Ofisi wa Waziri Mkuu waliamua kuchukua vijana wa JKT-Mafinga ili kuja kutengeneza makazi ya muda kwa wahanga wa mafuriko hayo.Kambi ya wahanga wa mafuriko hayo ipo katika Kijiji cha Kisanga,kitongoji cha Kilala ktk Tarafa ya Pawaga.Misaada mbalimbali imeendelea kutolewa na serikali