Tambua Kipawa Chako by Prophet Gibson | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, May 5, 2016

Tambua Kipawa Chako by Prophet Gibson

Embu Ngoja Nikuulize kitu Wewe mdau wa mafanikio yako binafsi, je ulisha Wahi kutafuta kipawa( talent) yako Ni nini uliyopewa na mwenyenzi Mungu? Kuna msemo usemao stop hiting around the bush hit to the point, wengi wantafta kufanikiwa na hawafanikiwi kwenye viwango wanavyotaka wao, wengine wamepoteza dira ya maisha kabisa.... Kipawa( talent) yako aliyokupa Mungu Ni siri mojawapo kubwa ya mafanikio na ukigundua Hilo umeng'ara kimaisha.
   Ngoja nikufikirisha kwa mfano huu,Ulishawahi fikir Hbri za wanamziki waliyotoka kimziki naamaanisha muziki wa Hip  bongofleva, gosple na wengine wengi tu ambao hua unawashabikia na hata kununua vitu vyenye nembo zao Kama wacheza mpira wa nje wacheza senema wote hao na wakati mwngne tunawapa Majina mabaya na kashifa wengine tunawaita wachawi, Freemasons, au wametoa kafara. Je unafikiri Ni nini kimewatoa kimaisha mpaka tunawaita majina hayo yote Ni vipawa( talent) na wengine hujulikana kimataifa hata kuliko viongozo wa serikali hata kuliko wasomi wakubwa, hii yote Ni kwa sababu ya kuigundua na kuifahamu vipawa( talent) na kuzitumia
        Hata Wewe hujachelewa bado tunasubiri kuona vile unafanikiwa. Ukitia tu bidii kutafuta kujua kipawa chako na kuitumia kwa ujasiri.. Najua wengne mmeshazijua lkn mnajiuliza mtaazaje..  Lkn vijana , wengi wetu Ni kwa sababu ya aibu na hofu Hivi vitu viwili Ni maadui wakubwa wa mtu kufanikiwa, Huwa Nina msemo nautumia na unanisaidia( go beyond humans fear and you wil succeed) amua na kusudia kufanikiwa Kwn kwa kufanikiwa kwako wengi jamii itasaidika!!!
   Acha kulalamika kwamba serikali haikupi ajira au Hamna kazi au nchi maskini hayo yote siyo Kweli, ajira ipo ndani yako, mafanikio Yapo ndani yako na siyo mbinguni......

By
Prophet Gibson